Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

mnyika ndio alipasa kuratibu upatikanaji wa maji kama mbuge, sasa unataka kero tuzipeleke wapi?
 
Jaman tangia huyo jamaa aingie bungen kimara hakuna maji na yeye kaz nikumshambulia waziri maji bungeni.2015 harudi tna

kwani mheshimiwa Mnyika ndo DAWASCO au ? wewe umechukua hatua gani kufatilia au yeye ndo maji yenyewe
 
mnyika ndio alipasa kuratibu upatikanaji wa maji kama mbuge, sasa unataka kero tuzipeleke wapi?

Ndio shida yetu wabongo mkichukia mtu mtamzushia kila sababu, nilini maji yalipatikana kutosheleza mahitaji ktk jiji la dsm, hapa ubungo Keenja ndio alituwacha pakavu kabisa.Mnyika alipeleka hoja binafsi ya tatizo la maji pale bungeni mkambania kwa sababu zenu.leo hii mnalia kitu gani?
 
halafu sijui hawa viongozi wanafanyaga nini,mi nasikia dili la kuuza maji kimara ni mchongo wa viongozi wa juu wa dawasco ndio maana maji hayafiki kimara. by the way inatakiwa siku watanzania tuingie barabarani manaake la sivyo watoto wetu wataishi maisha magumu baadaye na kutulaumu milele na milele.NASEME HIVI SIKU TUINGIE BARABARANI F.U.C.K kodi tunalipa halafu wenyewe wanafanya ungese tu.
 
sichangii kwan uccm na uchadema ushaingilia hal ya hewa ishaanza kuchafuka
Hili sio jukwaa la siasa jaman
 
mnyika ndo kawaambia dawasco wasitoe maji? au mabomba yote kayaelekeza ndani kwake? achaneni kujitoa fahamu wehu nyie, toka mnyika hajachukua jimbo hali iko hivihivi, keenja alishawai kuleta maji ya uhakika?
 
Tatizo la maji na barabara za mitaani jimbo la ubungo tangu nimezaliwa na kukua haliishi.Hakuna cha wabunge wa chama chochote wote hawajafanya kitu.
 
mwaka 2005, kulikuwa na slogan yao ARI MPYA, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, sasa ndio hiyo, kasi niliyoiona mie ni ya kuua tembo na kuingiza sembe, lakini vingine sijaona,
 
Huyo jamaa hafai kabisa ngombe hawana maji alafu yy anakuwa mbish tu mbungeni..kudadeki harud 2015 bungen
 
Nilitegemea kupata story kama hizi kijiweni tena kwa wale ambao hata keyboard hawajawahi ona, lakini imeletwa na member wa JF mtu ambaye angalau ameenda shule. Tanzania tuna tatizo kubwa sana la elimu sijui tufanyeje.
 
Yaani watu kweli mmelishwa unga wa ndere tatizo mnyika wakati kila siku mnamuona mnyika anaadika waraka na kuipendekezea serikali nini cha kufanya kuepuka tatizo la maji plus kumkumbushia waziri wa maji kila siku kuhusu ahadi zake na kumkumbushia kuhusu tatizo la maji,sasa mlitaka afanye nini zaidi
 
Nina mashaka hata uozo ulioko vichwanj mwenu sababu ni Mnyika. Kumbe mbunge kazi yake ni kuwachoteeni maji majumbani mwenu!
 
Back
Top Bottom