Mkuu hebu jaribu kukaa nae chini, umuulize kwa utulivu - labda anaweza kukuambia kinachomtatiza
Au kuna nguli mwenzio ameshaanza kumpa vishawishi, kwahiyo anakutafutia wewe visababu, ili hata usipikiwe chakula cha usikunimesha muuliza
ananiambia kuwa hakuna tatizo lolote
Habari zenu wan MMU
nimekuwa katika uhusiano ya kimapenzi na mpenzi wangu kwa muda sasa
ninamtimizia kila kitu lakini
bado analalamika simjali
kama ni upendo namwonyesha upendo wa dhati.,
kama ni kumsaidia matatizo yake namsaidia.,
na vingine vingi
swali langu
Wanawake mnahitaji nini zaidi kutoka kwetu wanaume?
Tunahitaji roho zenu peke yake
Kwa mtindo huu halafu wanalalamika mapenzi ya siku izi hayadumu
Tatizo lako na mpenzi wako unataka sisi wanawake wengine tukusaidie kujua mpenzi wako anataka nini!
Huwezi kujua mpenzi wako anataka nini ukiwa unatuuliza sisi yasiyotuhusu
Habari zenu wan MMU
nimekuwa katika uhusiano ya kimapenzi na mpenzi wangu kwa muda sasa
ninamtimizia kila kitu lakini
bado analalamika simjali
kama ni upendo namwonyesha upendo wa dhati.,
kama ni kumsaidia matatizo yake namsaidia.,
na vingine vingi
swali langu
Wanawake mnahitaji nini zaidi kutoka kwetu wanaume?
kabang tena MpendasifaHauli kabang habari ya mujini
kuna wadau wanasema kufanyia sex eneo moja inachosha...!
kwa hiyo na wewe jaribu kuwa unabadilisha badilisha mazingira ya kumgegedea mpenzi wako!
sio kila siku kwenye kakitanda kako ka springi na makelele yote yale! chukwi chukwi chukwi mpaka mtoto wa watu anaumia mgongo..!