Nilisema kabla

Nilisema kabla

kugewa pesa ni sawa lakni msifanye kam ni kigezo cha kugonga ngozi!
 
Na mvuluana yeyote kumuomba papuchi girlfriend anatakiwa akchekiwe akili huyo mvulana, girlfriend sio mke wako wala mama yako, Tuwacheni Tulale

Hivi wewe una akili kweli??? Au ili mradi tu na wewe uonekane ligi ya ubishi unaiweza!!! Mama yako unaweza kumuomba papuchi?
 
Wanaume mnaboa kitu kimoja, kama pesa ilikua mfukoni mwako, je uliwekewa bastola kichwani ili uitoe kwa nguvu???
Acheni kupotezea wanawake muda kwa weakness zenu wenyewe.
1146897_565039536894352_1828303303_o.jpg
 
Na sasa nalisema tena. Msichana yeyote anayefikiria, ni jukumu la Boyfreind kumpa pesa anaitajika kuchekiwa akili kama yupo timamu ama laa. Je Boyfreind ni baba yako? Mume wako?

Tumieni akili wasichana.
Na kijana anayetegemea papuchi kwa bint ambaye Si mkewe naye akapimwe akili pia.
Sijui mmekumbwa na nini wavulana,mnalia lia na kuona sifa kufadhiliwa!!!
Hanna sifa za kiume
 
Na sasa nalisema tena. Msichana yeyote anayefikiria, ni jukumu la Boyfreind kumpa pesa anaitajika kuchekiwa akili kama yupo timamu ama laa. Je Boyfreind ni baba yako? Mume wako?

Tumieni akili wasichana.
Kaka, na wewe unapomfuata, unamfuata kama mama yako, au dada yako? Maana nikiuliza kama mkeo, lazima mke ahudumiwe. Mnatutia aibu sana watu wa aina yako. Mnataka muwe vichwa ndani ya mahusianano/nyumba huku mnakwepa majukumu. Tafakari sana kauli yako hiyo
 
Ahahaha wambie wanajua ipo kwaajili ya kutoa huduma tu, alafu tena bado tuilipie

mi huwa nawakumbusha mara nyingi hapa, kuwa wanaume tunanyanyasika kwa kujitakia bure!
Sio haki hata kidogo, wataalam wanathibitisha kuwa...ktk sex anaepata utam mnoo... ni jinsia ke, lakin hapohapo muwajibikaji wa kila kitu mpaka gharama ya uwanja mara nyingi mzigo wote ni kwa mwanaume
jamani huu ni uonevu....ni uonevu huu.......tena wa kujitakia!
 
Na sasa nalisema tena. Msichana yeyote anayefikiria, ni jukumu la Boyfreind kumpa pesa anaitajika kuchekiwa akili kama yupo timamu ama laa. Je Boyfreind ni baba yako? Mume wako?

Tumieni akili wasichana.
hahahahaaaa msandawe halisi hizo ni swaga tu ndugu yangu....! Huwa tukikolezwa tunatoa bila kuombwa tena tunatoa na ziada
 
Usipohonga ukimegewa usilalamike tulia kimya!kwahyo wewe unajisikia raha kumsifia mwanamke wako amependza mara ooh unanukia vizuri mara baby nguo yako nzuri,unazani hzo pesa anaokota?ukitaka asiyekuomba pesa katafute wakuja nayd akishaujua mji imekula kwako

na ndio maana demu wangu mi simsifiagi hata kidogo na wala simpondi kwa muonekano wake...mpaka nitakapo kuwa na uwezo wa kumhandle ktk mahitaji yake bila kuninyima pumzi!!
Tena wala simuulizagi amekula nini!!?
 
Back
Top Bottom