Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

heheheh!! mama yako measkron kaniambia nishee nae. uwe na adabu wewe mtoto, unataka laana ya mama wa kambo eeh? halafu aleji yako na watu wafupi haijaisha tu?

Wewe Husninyo hakuna sharing kwa my hubby watu8 yaani mdogo wangu kukuweka karibu wataka iharibu ndoa yangu?
 
Last edited by a moderator:
Sheria ya mapenzi huwa haina ubaguzi, acheni watu wapende kutokana na vigezo vyao

Wewe kama ni mfupi, yupo atayekupenda hivyo ulivyo wala usiweweseke maana hukupenda wewe

unayosema ni kweli maana nijuavyo mimi mapenzi ya kweli hayana vgezooo
 
Tabia za watu wafupi
1.huwa hawakauki maneno mdomoni ukiwa nae muda wote lazma ufurahi. Hivyo hukusaidia kupunguza stress kama una mawazo.
2. Huwa wanadumu na wapenzi wao kwa kuwaoneshea upendo wa kweli wapenzi wao ingawaje mara nyingi huwa hawajatulia.
3. Mara nyingi huwa wamejawa na maneno matamu na mazuri kwa wapenzi wao(kisima cha maneno matamu) mara nyingi huwa watu wafupi,hivyo huchangia kupendwa na wapenzi wao.
4.watu wafupi si waoga kumfuata mtu yeyote yyule ambae ametokea kumpenda kwani wengi hawapendi kukaa na jambo moyoni....ila mara nyingi hudhauriwa na yule anayemfuata kwa kigezo cha ufupi alionao ila mara nyingi huwa hawakubali kushindwa mpaka ahakikishe anampata.
5.vilevile watu wafupi ni wataalam mno kunako sita kwa sita na kumfanya mpenzi kuburudika bila kulalamika.
6.wengi wao huwa wabishi,hawakubali kuonewa.
7.huwa na wapenzi zaidi ya wanne bila kugunduliwa na wapenzi wake.
8. Husababisha ugomvi sana kutokana na kupenda matani muda wote.
9.kwenye daladala huwa hawakosi siti maana kwenye kugombea gari huwa wanapenya sana kwenye makwapa ya watu.
9. Ushauri...kama wewe ni mrefu basi usijaribu hata kidogo kukunja ngumi kupigana na mtu mfupi kwani kipigo lazma kikuhusu...mara nyingi hutumia ufupi wao vizuri kupiga maeneo ya tumbo na kuleeee chini ya........(nadhani ushapajua)hivyo jihadhari.
10.mara nyingi watu wafupi huwa watu ..........wapwani........
 
Hakuna aliekosa, hapa twajadili madhila wapatayo tu hapa duniani, hahahhahaaa.

Madhila gani?

Kuna aliyekosa kazi?
Kuna aliyekosa mahali pa kulala?
Kuna aliyefukuzwa kwao kwasababu ni mfupi?
Kuna aliyeshindwa kusoma kwasababu ya ufupi?

Hebu niambie ni madhila gani unayoyazungumzioa?
 
Madhila gani?

Kuna aliyekosa kazi?
Kuna aliyekosa mahali pa kulala?
Kuna aliyefukuzwa kwao kwasababu ni mfupi?
Kuna aliyeshindwa kusoma kwasababu ya ufupi?

Hebu niambie ni madhila gani unayoyazungumzioa?

tazama unachoandika utaelewa.
 
Tatizo watu wachaguz mno!!!mara sixpack!!mara makalio makubwaa
 
hahaaaaaaaa!mtoa mada usijali na ufupi wako yupo anaekupenda
 
Mara nyingi wafupi, hasa wanaume, huwa wabishi, wanajitutumua, wanajijazia hamira, vimbwanga ndio usiseme...Sijui wanajistukia nini au wana-prove nini? Eeh mola nirefushie watoto wangu hasa wa kiume.
 
Kikubwa ni kujikubali ulivo na kua mbunifu,mimi naamini ngazi ilibuniwa na mtu mfupi
 
Ni kweli kuna aina ya kazi huwezi pata kama mfupi..hata kwenye vyombo vingi vya habari ukiwa mfupi ujue una kitu peculiar..mfano..chunguza presenters wa Eatv na hata Star Tv utagundua kitu na hata presenters wa kimataifa..sasa wewe mtu kama steve nyerere asipowekwa kituko unataka acheze awe JAMBAZI?

Poleni vijeba!

Sam misago wa friday night andunje
 
kwani height nzuri, yenye mvuto kwa nyie wadada ni sentimita/mita ngapi, i wanna know where i belong!!
 
Back
Top Bottom