Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

Vanessa-Mdee.jpg
tatizo hana manyama ya kushika.....
 
katoto ka kikipare hako ni nomaa,....nyama tamu sana iyo mana ipo karibu na mfupa
 
Hahahahaaaaa utakuuura kwa macho mkuu@Chinga one
 
Mi pia moja wapo.Napenda sana videmu vinavyomwaga ung'eng'e,yule dada seven sijui yuko wapi,Vanessa mdee, na jokate du.she..le..le husimama mpaka naomba mma ila lile la nivana sijui linani lile halipendezagi.
 
Vanessa ni chakula ya wazee. Wanamzeesha kwa mambo ya kikubwa mpaka mtoto wa watu anaonekana as if she's 40 something wakati she's still a teen ager😡😡😡😡
 
Kila nikimuona kwenye video zake huyu binti hali inabadilika napata hisia za kimapenzi tu na hisia za kuoa zaja ghafla, AU DAMU ZETU ZINAENDANA? najipa moyo ipo siku nita mpata tu tena nita muonga kamshahara kangu kote ka TGTs D2...

Daaah nimejikuta nikicheka hapo kwenye TGTSD2
 
Kama ww upo nae si muimbishie mwenzako anateseka na ww unaweza ukammalizia tatizo lake mbona ww jamaa mrs nani alikuonganishia na muhusika akakupata
 
Utamuweza? Obama Ana M-follow kwenye twitter Sasa amezidi kuringa, naakushauri ufungue acc twitter kwa jina la Cameron kisha um follow, baadae uanze kum DM ataingia tu na utamaliza shida zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom