Recent content by KATEGUNDA63

  1. K

    Viwanja 10 vyenye thamani zaidi Afrika

    Uwanja wa Taifa DSM ni mzuri ila (a) unashushwa hadhi yake na uwanja wa uhuru unaoingiliana nao. (b) unaufanya uwanja wa uhuru uonekane kama si mali kitu! Hivi wasanifu wa huo uwanja hawakuligundua hilo kabla ya kuamua mahali pa kuujenga?
  2. K

    Je, hii ni halali na haki?

    Kwa kawaida kila siku asubuhi kuanzia saa 12, kuna foleni kuanzia Segerea hadi barabara kuu(Mandela). Kutokana na foleni hiyo, utakuta magari ya Serikali ya STK.. yanatanua tena kwa spidi! Leo asubuhi lilianza basi la Mahakama Kuu, lilichomoka pale Kristu Mfalme. Kabla ya kufika njia panda ya...
  3. K

    EPL ni ligi dhaifu

    Just open your Dictionary and have a look at these words, "concided"," carier". What about, "recievedw biggest"?
  4. K

    Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa 2015

    Mimi kusema ukweli machozi yamenitoka kama vile anayesemwa hivyo binti yangu na wenzake wanayasoma na majirani na wadogo zake na..aah!
  5. K

    I'm Uganda's Magufuli (Mimi ndie Magufuli wa Uganda)

    Haya, posts zote hakuna hata moja imejilekeza kwenye hoja ya mleta mada!! Ni Lowasa msafi, Lowasa fisadi, mara kinyesi kutokea mdomoni! Simply simplistic! Mchana mwema nimechoka kuhubiri, weye masikio na wasikie.
  6. K

    I'm Uganda's Magufuli (Mimi ndie Magufuli wa Uganda)

    Ungejua kuwa wengine Lowasa angepitishwa na CCM kugombea urais tusingepiga kura, usingesema hayo. Mimi ninachotetea, tujadili mada. Mada tuliyonayo ni ya Mbabazi kujilinganisha na Magufuli. Aliyeleta mada anaongelea hilo hilo na anamalizia, "Nini Maoni yako ?". Hivi wengine tumesoma shule wapi...
  7. K

    Kutana na mchungaji mwenye wasaidizi wa kumfuta hadi jasho

    Haya, Serikali ikiingilia tu, mawakili watapigana vikumbo the Hague! "Magufuli asulubiwe, anavunja haki za binadamu, anaingilia uhuru wa kuabudu...". Si wanajipeleka wenyewe? Wanatafuta urahisi katika miujiza? Mungu alitupenda mno akatupa uhuru wa kuchagua. Ukimchagua yeye na kumuamini...
  8. K

    I'm Uganda's Magufuli (Mimi ndie Magufuli wa Uganda)

    Yaani mimi naudhika mtu anaposhindwa kujielekeza kwenye mada anaibua ya kwake. Mbabazi anajilinganisha na Magufuli kwa vile Mhe. Magufuli ni Rais naye amependa utendaji wake. Hakujiita yeye ni Magufuli wa Uganda wakati Magufuli anagombea. Atajiitaje yeye ni Lowasa waTanzania wakati Lowasa sio...
  9. K

    Shule binafsi Dodoma yawataka wazazi kuchangia ununuzi wa basi la shule

    Si shule hiyo peke yake. Zipo shule binafsi hapa Dar zimechangisha wazazi kujenga ukuta, kupanua au kuongeza madarasa n.k. Uzuri wazazi wa siku hizi si wanawapenda saana watoto wao wasipate taabu. Tunachanga! Lakini hii ni capital investment kwa mwenye shule. Ataongeza idadi ya wanafunzi...
  10. K

    Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

    Udikteta anao na dharau pia. Fikiria mtu hajawa Rais anatamka kuwa akiwa Rais wa USA atamkamata Uhuru Kenyata, Rais wa Kenya na kumfunga kutokana na yeye kwenda Ufaransa na msururu wa watu akiwemo mwanae. Asipomkamata anavamia Kenya? Ya Bush na Iraq!
  11. K

    Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

    Trump ni headache hata kwa NRC waliomkubalie aingie katika kinyanyanganyiro cha uteuzi kupitia Republican. Ulaya hataki akanyage kwao. Amewachefua Waislamu karibu dunia nzima.Tatizo, Trump mdomo wake hauna speed limit!
  12. K

    Kauli isiyo ya kidemokrasia ya Obama!

    Trump ni headache hata kwa NRC waliomkubalia ajitose kugombea uteuzi kupitia Republican. Ulaya usideme, hawataki kusikia jina lake! Kawachefua Waislamu hata waliomo Marekani. Tatizo mdomo wake hauna speed limit.
  13. K

    Wahitimu kulipa madeni ya mikopo ya Chuo

    Kigezo ni wale waliosoma Vyuo vya Elimu ya Juu tangu 1994 kwa utaratibu wa mkopo wa elimu ya juu.
  14. K

    Wahitimu kulipa madeni ya mikopo ya Chuo

    Mi nadhani isiwe tabu MZK. Kama ulikuwa unalipa deni la mkopo kupitia mwajiri kuna uthibitisho wa makato wapelekee. Kama ulikuwa unalipa Bodi ya Mikopo wewe mwenyewe una risiti zao waonyeshe. Wakikukatalia wapeleke kwa Pilato. Labda kama unanogesha gumzo jamvini!
Back
Top Bottom