ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Arsenal aliishinda kwa taabu Lecester City wiki ilopita japo wale madogo walikua pungufu,Mancity amepigwa kirahisi mechi 2 mfululizo,Bingwa wenu bado anaburuzwa kwenye msimamo wa ligi yenu,Chelsea kapigwa na Psg,Manchester United Kigogo wenu mwingine Sasa anapigwa hata na watoto!kapoteza kwa Sunderland lakini pia jana Ligi ya europa kapigwa na ka timu ka Sweeden hata jina hakana!..Hizo ndio timu zenu kubwa mnazojivunia...mmekaa kiushabiki mnaiponda Lecester city eti kua haiwezi twaa kombe la epl..mnataka kulazimisha zishinde timu zilizochoka!poleni sana...Wiki ijayo sie mnaosema ligi yetu haina mvuto tunakutana na Arsenal sasa tusubiri siku ya siku tujiridhishe.