Yaani mimi naudhika mtu anaposhindwa kujielekeza kwenye mada anaibua ya kwake. Mbabazi anajilinganisha na Magufuli kwa vile Mhe. Magufuli ni Rais naye amependa utendaji wake. Hakujiita yeye ni Magufuli wa Uganda wakati Magufuli anagombea. Atajiitaje yeye ni Lowasa waTanzania wakati Lowasa sio Rais? Ndio maana watu wanasema Mbongo ukimuuliza swali anakujibu kwa swali. "Unaenda wapi?"; " kwa nini unaniuliza?"; " mbona umekasirika?" "inakuhusu nini?".. Je tu wavivu wa kutafakari?
Cc msukuma12Yaani mimi naudhika mtu anaposhindwa kujielekeza kwenye mada anaibua ya kwake. Mbabazi anajilinganisha na Magufuli kwa vile Mhe. Magufuli ni Rais naye amependa utendaji wake. Hakujiita yeye ni Magufuli wa Uganda wakati Magufuli anagombea. Atajiitaje yeye ni Lowasa waTanzania wakati Lowasa sio Rais? Ndio maana watu wanasema Mbongo ukimuuliza swali anakujibu kwa swali. "Unaenda wapi?"; " kwa nini unaniuliza?"; " mbona umekasirika?" "inakuhusu nini?".. Je tu wavivu wa kutafakari?
Ungejua kuwa wengine Lowasa angepitishwa na CCM kugombea urais tusingepiga kura, usingesema hayo. Mimi ninachotetea, tujadili mada. Mada tuliyonayo ni ya Mbabazi kujilinganisha na Magufuli. Aliyeleta mada anaongelea hilo hilo na anamalizia, "Nini Maoni yako ?". Hivi wengine tumesoma shule wapi? Kwa majibu yako uwe unafanya mtihani ukose kupata F?Unavyohangaika kumtetea fisidi Lowasa mpka kinyesi kitakutokea mdomoni!
Mahakama ya chadema na jaji lissuMahakama ipi imemhukumu Lowassa kwamba ni fisadi.Acheni ushabiki
Haya, posts zote hakuna hata moja imejilekeza kwenye hoja ya mleta mada!! Ni Lowasa msafi, Lowasa fisadi, mara kinyesi kutokea mdomoni! Simply simplistic! Mchana mwema nimechoka kuhubiri, weye masikio na wasikie.Acheni wivu wa ngoma ni Kama lowassa ni fisadi mbona majipu yanayotumbuliwa hatujasikia kabisa akitajwa
Anamjua sana Lowassa..nashangaa hakujilinganisha nae.mbona hakuna anayejiita Lowasa
Majipu ya wanasiasa hayajaanza kutumbuliwa. Wameanza na majipu ya watumishi wa serikali.Acheni wivu wa ngoma ni Kama lowassa ni fisadi mbona majipu yanayotumbuliwa hatujasikia kabisa akitajwa
Unavyohangaika kumtetea fisidi Lowasa mpka kinyesi kitakutokea mdomoni!