Recent content by Katawi d

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni nifanye biashara gani? Nina mtaji wa 3,000,000/=, nipo Himo-Moshi

    ndg yng mawazo ya humu sio kwa ajiri ya mtu moja na kwa mtazamo wangu huu ushauri huwa unaishi siku zote ndo maana unaweza kuta uzi wa kitambo lakini ukawa msaada mkubwa sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta ongezeko la kodi mbalimbali

    safi sana wacha akili zituvie tulifikiri sifa kupanda nyanya matunda tuvune maembe,maneno ya mwl yametimia serikali ya legelege haikusanyi kodi hata ikikusanya inakusanya kwa watu wa chini ndo maana mpaka leo inashindwa kukusanya kodi kwenye gesi,migodi,uvuvi bahari kuu,makampuni ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania laini ya uwakala wa tigo pesa

    nipigie mkuu 0778517848
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar!

    kweli kabisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Clouds mjirekebishe

    mi kitambo sana siwezi kukaa kusikiliza promo za uliberali au yale maporojo yao jioni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya show ya jide ni haya

    Achakupotosha wewe.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa kodi kwenye bodaboda".

    huku akijichekelesha eti vijana fanyeni kazi!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    mambo mangapi yapo kwenye mikataba na bado hayatekelezwi?kwenye bajeti walikuwa wanabwabwaje local channels tano leo yako wapi?star haipo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pata line ya uwakala wa mpesa

    mkuu kama stand alone ni pm tufanye biashara.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Laini ya Tigo pesa

    mkuu nipm
  11. K

    JamiiForums Tanzania Urgently needed: Line ya uwakala wa m-pesa na tigo-pesa kwa anaeuza please

    uwe na document hizo ni PM,kwa anayehitaji naweza kumsaidia
  12. K

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    liwalo naliwe serikali moja,taifa moja,nchi moja,rais mmoja,huo ndo muungano
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge aangua kilio bungeni kisa yeye kupokea taarifa za msiba akiwa juu ya mti!

    kilichomliza ni binti yake kaondoka kakosa neema na alivyohangaika kupanda mti,ila miaka yote wananchi walivyokuwa wanahangaika yeye wala hakuona tatizo!
Back
Top Bottom