Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Jamani si wameondolewa kulipa road licence tu?
Kodi ya mapato ipo pale pale!
Kodi ya mapato kwani wanalipa bei gani?
Wenye magari pia wanalipa kodi ya mapato
Ni kuwabagua wananchi kwa kiwacanya wengie walipe kodi na wengine wasilipe.
Manake imagine.mfanyakazi mwenye kigari chake.mtumba analopa road licence na PAYE kama kawaida.
Onabidi wajengewe utamaduni wa kulipa kodi hata kwa kidogo wakipatacho. Manake mfanyakazi w kima.cha.chini naye analipa kodi
Kiujimla ni.uamuzi wa hovyo ambao hatukuutegemea kutoka kwa Mgimwa na wataalam wake