safi sana wacha akili zituvie tulifikiri sifa kupanda nyanya matunda tuvune maembe,maneno ya mwl yametimia serikali ya legelege haikusanyi kodi hata ikikusanya inakusanya kwa watu wa chini ndo maana mpaka leo inashindwa kukusanya kodi kwenye gesi,migodi,uvuvi bahari kuu,makampuni ya simu,mishahara ya wabunge n.k