Recent content by katalina

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mahojiano Kituo cha Polisi na Kesi Hipo Mahakamani ni Sahihi?

    Nijiavyo mimi, hata kama kesi iko mahakamani upelelezi huendelea. Kwahiyo waweza hojiwa if need be.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwenda ni nani?

    Tupate CV yake, tusiishie kusema ni mwanasheria.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni vyuo gani vinavyochukua application mwezi huu

    Una maana gani na 'vyuo' kwa sababu viko vingi. Vyuo vya ualimu, vya polisi, vya michezo kama huyo mallya, etc
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe vazi jeusi katika msiba?

    Kwenye bendera ya wapi kama Tanzania sawa, lakini si kila nchi inamaanisha hayo mliyokaririshwa kwenye shule zenu za mwembeni. Sina uhakika kama kule Cuba, etc rangi nyeusi kwenye bendera maana yake rangi za watu, anyway .....
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mzee WASIRA nae kuhojiwa

    Sijui kama umenielewa; kwa umri wake Stephen Wasira anastahili kupewa heshima ya Uzee. Kwa hiyo kumwita Mzee Wasira, nimemheshimu sana labda kama wewe ndo hukuelewa kwa kudhani hata neno 'Mzee' ni jina lake.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Samadu Hassan Maduhu; Akistaafu utumishi nitapata pigo kubwa

    Habari zake zote ni ku-copy na ku-paste, sijui cha ajabu ni nini akistaafu. Kwa kuwa mjomba wake umeamua kumpa shavu ndani ya ukumbi watu wamjue au siyo!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mzee WASIRA nae kuhojiwa

    Sijaelewa, hivi huyu mzee nae kaishatanza kuwania nafasi ya ukubwa wa nchi. Uhusika wake ukoje mpaka na yeye ahojiwe. Mwenye majibu tafadhali.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yu Wapi Sakina Datoo?

    Chezea posho 'weye'!!! Wangapi wametulizwa na posho, si kweli kwamba wanapotea, jibu ni POSHO aka money.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini polisi hapa kwetu wanatumia namba hizi za kigeni kwenye gari lao?

    Namba zipi za kigeni? cha ajabu ni nini, rangi au ...! HUELEWEKI NENDA KAOGE!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kero ya Morogoro road

    Mbaya zaidi hata kama tukisema tuandamane, hakuna sehemu ya kupita kwa sababu muda wote gari zimesimama barabara!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wapi mabati ya m-south (ironsheets) yanapatikana hapa DSM

    Naomba kusaidiwa ni sehemu gani naweza kununua mabati ya m-south original hapa DSM. If possible nieleweshwe yanauzwaje kwa mita na futi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbinga hatuna imani na mkuu wa kituo cha Polisi

    Mpaka huyo mtu akafungwa, kwa nini hukwenda kutoa usahahidi wako mahakamani? Badala yake unalalama hapa. Nadhani umepewa ushauri wa bure 'ANDAMANENI KITUO HICHO CHA POLISI KIONDOLEWE ILI MUONDOKANE NA BALAA LA KUBAMBIKIZWA KESI MBALI NA ULINZI WA SUNGUSUNGU'
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko Polisi, vigogo watarajiwa kustaafu

    Kwa hiyo 'mtikisiko' hapo ni kitu gani. Au unamaanisha hao wakistaafu hawatapatikana wengine wa kuchukua hizo nafasi. Tuwe makini katika matumizi ya maneno...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbona taarifa zake za elimu bungeni hazieleweki?

    Mbona ana elimu inayoeleweka. Amesoma msingi akaenda Diploma - Unashangaa nini, mbona leo mnaandaa programme ya kutoka shule ya msingi moja kwa moja kwenda chuo kikuu!!!!!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ wajipanga barabarani kumlaki Salma Kikwete, Mlandizi

    Kinachokushangaza ni nini, mbona wakuu wa mikoa wanaenda kumpokea; sembuse wanajeshi!!!!!!
Back
Top Bottom