Jimmy Kadebedebe
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 468
- 191
Ndugu wana jamii forum napenda kuwasilisha mada hii kwenu ili nipate mawazo yenu juu ya huyu mkuu wa kituo cha polis kuona wanaenda kumkamata binti mwenye umri kama wa miaka 24 akiwemo mkuu wa kituo na askari wengine 11.Bint huyo alishawahi kuhukumiwa na mahakama kwa tuhuma toka kwa boss wake kuwa alimwibia tshs milion 27 ambapo mwisho wa kesi ilisadikika bint huyo hakuiba hizo ela lkn kutokana na rushwa ambazo zilitolewa kama maji na boss huyo(mwanamke] mjane mpk za ngono bint yule alihukumiwa kifungo cha miaka 4 au fain laki saba na akitoka alipe milioni 5.Kwa hukumu hii wana jf hamuoni kuwa rushwa ilitumika?, Yule bint alilipa fain na akakata rufaa lkn akiwa kwenye process tunashangaa tena kuona mkuu wa kituo pamoja na askar hao 11 wanamkamata tena dada huyo utazan jambazi lililoua,Mimi sina imani na mkuu wa kituo wilaya ya Mbinga kwan tunaona wauza bangi, wez, majambazi na wengieo ambao ham deal nao mnatia aibu sana kwa kula rushwa askari wa mbinga.