Kero ya Morogoro road

Kero ya Morogoro road

NKANOELI

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
203
Reaction score
61
Wajameni binafsi nimekuwa mhanga mkubwa wa matatizo tangia ujenzi wa hii barabara uanza,Sijuii Tanroads na Wizara ya Ujenzi hawalioni hili.

Au kwa kuwa wao wanakaa Obay na Masaki ? Sisi watu wa Mbezi ni shida tupu yaani unaamka saa kumi asbuhi unarudi nyumbani saa 5 usiku.

Sasa naomba kuuliza pamoja na hiyo kero hivi zile kona za kitongo pale Kimara ni za nini haswa ?

Tumeshuhudia wiki 2 zilizopita jinsi kulivyokuwa na ajali mbaya pale.

Magufuli tunaomba utusaidie.:A S thumbs_up:
 
Mbaya zaidi hata kama tukisema tuandamane, hakuna sehemu ya kupita kwa sababu muda wote gari zimesimama barabara!
 
Back
Top Bottom