Yu Wapi Sakina Datoo?

Yu Wapi Sakina Datoo?

chademaistheway

Senior Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
100
Reaction score
86
Hivi huyu mwanamama kapotelea wapi?

Au ndio amepotea kama endangered species (waandishi wa habari makini wachache Tanzania) ambao hatujui hupotea tuuu from the radar.
 
kweli jaman huyu mama yu wapi? Umenikumbusha that time alikua mpiganaji sana
 
Chezea posho 'weye'!!! Wangapi wametulizwa na posho, si kweli kwamba wanapotea, jibu ni POSHO aka money.
 
mara ya mwisho si alikuwa The Guardian..??
 
Ananilea Nkya nilimpenda kwa kweli, hasa vile meno yake yalivyopandana
 
Niliona mara ya mwisho anapigia propaganda Iran.
 
Hivi huyu mwanamama kapotelea wapi?

Au ndio amepotea kama endangered species (waandishi wa habari makini wachache Tanzania) ambao hatujui hupotea tuuu from the radar.

Nakumbuka huyu mama mara ya mwisho alikuwa mwenyekiti wa Tanzania Editors Forum (jukwa la wahariri) mi nadhani huyu alianza kusoma alama za nyakati mapema akaaamua anusuru kucha zake... mtazamo binafsi
 
that is the point.. itakuwa kaepusha kucha zake..
 
Nakumbuka huyu mama mara ya mwisho alikuwa mwenyekiti wa Tanzania Editors Forum (jukwa la wahariri) mi nadhani huyu alianza kusoma alama za nyakati mapema akaaamua anusuru kucha zake... mtazamo binafsi

Nafikiri yupo IPP gazeti la the Guardian
 
combination ya Sakina Datoo, Ananilea Nkya, Helen Kijo Bisimba na Usu Malya ni kama Man City au Barcelona

Kweli kabisa mkuu. Hao akina mama ni hatari. Hao mimi nasema wakikabidhiwa nchi mambo yatakuwa safi sana. Yaani hao mmoja awe rais, mwingine makamu wa rais, mwingine waziri mkuu na mwingine spika wa bunge. Hawa wanaume tulio nao sasa ni aibu tupu! Ila mkuu ungeongezea kuwa ni kama Bayan Munich na Real Madrid pia
 
Back
Top Bottom