Aaah,tayari disko lishavamiwa, unatoka wapi saa hizi shemeji hebu tulia kwanza
pia na mimi mnisaidie kwa rangi nyekundu inamaana gan?
Maana leo tarehe 14 feb wengi wanavaa nyekundu wakidai n rangi ya upendo.
Kwenye bendera ukiikuta nyekundu inaashiria hatari au umwagaj damu.
Hapo ndipo ninapochanganyikiwa.
Nijuzen
Mbona hawaji sasa?
Shemejiiiiiiiiiiii........
Nichafue mada?
pia na mimi mnisaidie kwa rangi nyekundu inamaana gan?
Maana leo tarehe 14 feb wengi wanavaa nyekundu wakidai n rangi ya upendo.
Kwenye bendera ukiikuta nyekundu inaashiria hatari au umwagaj damu.
Hapo ndipo ninapochanganyikiwa.
Nijuzen
mkuu unataka kusema hawa wanawake wanaovaa mabuibui meusi ni misiba kuzimu au giza?na ni kwa nini waume zao huvaa nyeupe tu?mbo na tunaona na wachungaji wakivaa kanzu nyeusi je,hao ni kina nani?tunaogopa arubadiri,kwani ulishawahi kuona mwanamke wa dini amevaa mabuibui meupe?
Huu ni utamaduni wa kimagharibi zaidi. Vazi jeusi ni official color, misiba kwa wenzetu huwa ni shughuli rasmi Kama ilivyo kwa official meetings ambazo Mara nyingi kwa wamagharibi vazi rasmi ni black suit. Hii ni kwa tangu zamani ingawa Siku hizi kumekuwa na mabadiliko ambapo hata brown color inafanywa kuwa official. Sasa wabongo tunachofanya ni kuiga tu maana hata kwa wale waumini wa dini zetu zote, tunaagizwa kuvaa vazi la rangi nyeupe. I stand to be corrected endapo sijawa sahihiWadau habari zenu!
Nini kinachopelekea watu walio wengi kuvaa vazi jeusi ktk misiba?
Kuna uhusiano gani rangi hiyo na msiba?
Nyeusi=giza,kuzimu
Nyekundu=damu,upendo,hatari
Blue=anga,maji
Kijani=ccm
Huu ni utamaduni wa kimagharibi zaidi. Vazi jeusi ni official color, misiba kwa wenzetu huwa ni shughuli rasmi Kama ilivyo kwa official meetings ambazo Mara nyingi kwa wamagharibi vazi rasmi ni black suit. Hii ni kwa tangu zamani ingawa Siku hizi kumekuwa na mabadiliko ambapo hata brown color inafanywa kuwa official. Sasa wabongo tunachofanya ni kuiga tu maana hata kwa wale waumini wa dini zetu zote, tunaagizwa kuvaa vazi la rangi nyeupe. I stand to be corrected endapo sijawa sahihi