Recent content by kasobi

  1. kasobi

    JamiiForums Tanzania Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

    2350mAh bado ni simu ya kusifia kweli kwa upande wa kukaa na chaji!!?, L8 ilikuwa na 5050mAh na L9 ina 5000mAh hapo nitaunga mkono, muda wote hutozima data na utacheza games bila wasiwasi
  2. kasobi

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

    We jamaa hii umetunga tu [emoji23] [emoji23]
  3. kasobi

    JamiiForums Tanzania Nashauri timu ya Taifa isitoe wachezaji wanaocheza ligi.

    Hiyo haijawahi kuwa namna ya uendeshaji wa mpira, japo inaweza kuwa ubunifu katika mpira Oddly enough, people on the Internet are more real than people in real life. The ability to act anonymously makes us much more genuine.
  4. kasobi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Wanawake wameona leo iwe siku ya kusema mabaya tu ya wababa ili siku yetu isifanikiwe, jaribuni kuona mazuri ya baba zenu na msahau mabaya ya michepuko yenu
  5. kasobi

    JamiiForums Tanzania Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

    Siku hizi usipokubaliana na mtu kwa maoni unamuita 'anauelewa mdogo' au 'mvivu wa kufikiri'[emoji22]
  6. kasobi

    JamiiForums Tanzania Juventus mlichokifanya leo Mungu anawaona

    Juve kama Mbao tu[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. kasobi

    JamiiForums Tanzania Unapompa Mpinzani Ukuu wa Mkoa, Sehemu Ambayo Unapingwa, Nini Tafsiri Yake?

    Hii ndio tafsiri ya upinzani wa siasa!? [emoji22]
  8. kasobi

    JamiiForums Tanzania Kuna kunguni kwenye mabweni ya UDSM. Chuo kitafute suluhisho

    Muulize vizuri rafiki yako, huenda anakuonea aibu kusema, nmewahi kuwa shuhuda katika hili
  9. kasobi

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    Mtoa uzi ameuliza maswali mazuri ila sioni majibu!
  10. kasobi

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

    Tukiachia mbali tuhuma za Bashite, Mtu ambaye huwa simuamini kabisa ni Ruge, ni kwanini wengi wa wanaofanya nae kazi kwa karibu huishia kulalamika kudhurumiwa!? Ila anajua kuongea vizuri aisee na anashawishi sana unapomsikiliza
  11. kasobi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ruksa kusoma degree na diploma kwa pamoja vyuo tofauti?

    Pia ni ngumu kumueleza mtu kuwa ulisoma kwa wakati mmoja akakosa ualakini, hasa ukizingatia mfumo wa elimu tulionao
  12. kasobi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ruksa kusoma degree na diploma kwa pamoja vyuo tofauti?

    Sina hakika sheria inasemaje juu ya hilo ila naomba kuuliza, kama sifa za kusoma degree moja kwa moja unazo, kwanini unataka na diploma tena kwa wakati mmoja!?
  13. kasobi

    JamiiForums Tanzania Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    Mimi naamini kama kipindi kitarushwa, basi wengi tutaangalia tena kwa hiari, ama kujua nini kimezungumzwa.
  14. kasobi

    JamiiForums Tanzania Mambo 50 yatakayokuacha kinywa wazi

    Nice work aisee, japo yapo ambayo sikubaliani nayo ila ni bandiko zuri sana
  15. kasobi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Kigamboni unamilikiwa na nani?

    Amani Gomvu Airport, right!? Kwa ushahidi wa kimazingira itakua ni ile Hotel ya kitalii pembeni yake.
Back
Top Bottom