mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,621
Magwiji wa dawa za kulevya ni wale waliotajwa na Bashite halafu hadi leo wako mtaani?
Hakuna hata mmoja aliyefungwa wala kesi mahakamani. Kesi ya Wema uchunguzi haujakamilika hadi leo.
Ujinga mtupu tu.