Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

Wakati wa Mwinyi ulikuwa umezaliwa? Na kulikuwa na media coverage kama sasa hivi? Acheni ulofa
 
mkuu usilete habari zisizo za kizalendo
Uzalendo unahitaji kujitoa na kujitambua katika kipindi chote cha maisha ya mwanadamu. Kuweza kupambanua zuri na baya tangu ukiwa kinda. Kujipambanua na kusimamia misingi ya maadili mema. Huu uzalendo wa ghafla bin vuu na tena "ukubwani" baada ya kuharibu sana unatia mashaka!
 
Uliwahi kumshauri Rais Magufuli kwa kutumia proper channel za kiutawala na akakataa ushauri wako au na wewe unalalamikana na kulalama tu wakati hujui hata proper channels za kutolea ushauri wako.

Nani alikudanganya kama Rais Mwinyi hakulalamika wakati wa utawala wake

Ninakumbuka baada ya kuanza kazi alianza kulalamika akitoa mfano wa mtu ambaye wenziwe wamemsadia kupanda juu ya mti na kisha kumtelekeza ilihali chini kuna machupa.

Mbona watu tunashauri humu daily hachukui hatua?
Ushauri wa kwanza kaambiwa na kila mtu mikataba yote ipelekwe bungeni ijadiliwe..
anapotezea tu daily...ikiwemo mikataba ya yeye kununua ndege
 
Sio wanatamani kumwambia "acha masihara" bila shaka wanatamani hata kumtukana!!!

Tatizo kakulia shamba ambako kila jambo lilikuwa linaonekana la kawaida!!!

Hafahamu Dar es salaam pamoja na kuwa na magari mengi kuliko mji wowote lakini bado watu tulikuwa tunaujua mlio/mngurumo wa magari ya ugawaji hata kama linapita umbali wa meta mia kadhaa to a kilometer nje ya upeo wa macho yako!!!

Just kwa mngurumo, unajua kabisa gari ya ugawaji hiyoooooo inakuja... mnaanza kukimbizana mkapate japo kilo moja ya sukari na hapo hapo unakamatiwa ununue na kiberiti!!

Angeishi Dar kipindi kile labda experience ingemsaidia..
mjini shule wanasema
 
Akibadili tu ninakupa beer leo,maana kubadili hata nukta maana yake na yeye atashtakiwa kwa maajabu yake.Kivuko kibovu,Barabara substandard,Mikataba ya ununuzi wa ndege,uwanja wa ndege wa chato,matumizi mabaya ya madaraka

Duh sidhani kama atapagusa hapo
Kwa kifupi itakuwa tit for tat
 
Ni msanii tu kama alivyowahi kusema Tundu Lissu.

Na kwa taarifa yake tutakapo anza kujadili mikataba ya Madini, tutaomba tujadili na mkataba wa Ndege alizo agiza kununuliwa..nasikia kuna ufisadi mwingi sana mule
Msisahau na wa gesi
 
Kiufupi Magufuli amefeli. Anachokifanya ni ku buy sympathy tu ili kuficha failure yake....

Jiulize why tangu aingie na marekebisho yake TRA imerudi nyuma kimapato zaidi ya huko nyuma?

Budget kutekelezwa chini ya 40% ni total failure!
Hilo la kufeli lipo wazi na kama ulivyosema kilichobaki ni ku-manipulate watu huku akitaka kuwaaminisha watu yote yaliyopo nchi hii yeye hahusiki kabisa... hata kidogo!! Na kwamba, hata sasa anashindwa kupiga hatua kwa sababu ameachiwa nchi iliyofisidiwa wakati yeye mwenyewe alikuwa ni sehemu ya system iliyofisidi nchi!!!

Tena hata hili la madini ningemwelewa sana tena sana endapo mara baada ya kuingia madarakani angeanza kulivalia njuga kama alivyokuwa amefanya bandari!!!

Hapo ningeamini hapo kabla hakuwa na nguvu ya kufanya hayo na ndio maana alipoingia madarakani tu akavalia njuga!!!

Kinyume chake, kaacha watu waendele kutuibia kwa miezi kibao baada ya kuwa ameshaingia madarakani kisha ndo anaibuka... tena na makinikia huku migodi mingine wakiendelea kupiga kama kawa!!!
 
Siku hizi usipokubaliana na mtu kwa maoni unamuita 'anauelewa mdogo' au 'mvivu wa kufikiri'
 
Mgodo visahill st: 21598463 said:
Hahahaaa...vp ONYX acha kuguna...!!

Vipi kundi hilo la MUZIKI lingali lipo..?
Namaanisha la Onyx..

Nafurahi kukuona..
Mkuu kusema kweli hilo kundi silifahamu. Ila hili jina ONYX nimelitumia kwani ni aina ya madini tunayo hapa nchini ingawa wengi hawayajui. Kumbuka mimi ni mdau wa sekta ya madini
 
Hilo la kufeli lipo wazi na kama ulivyosema kilichobaki ni ku-manipulate watu huku akitaka kuwaaminisha watu yote yaliyopo nchi hii yeye hahusiki kabisa... hata kidogo!! Na kwamba, hata sasa anashindwa kupiga hatua kwa sababu ameachiwa nchi iliyofisidiwa wakati yeye mwenyewe alikuwa ni sehemu ya system iliyofisidi nchi!!!

Tena hata hili la madini ningemwelewa sana tena sana endapo mara baada ya kuingia madarakani angeanza kulivalia njuga kama alivyokuwa amefanya bandari!!!

Hapo ningeamini hapo kabla hakuwa na nguvu ya kufanya hayo na ndio maana alipoingia madarakani tu akavalia njuga!!!

Kinyume chake, kaacha watu waendele kutuibia kwa miezi kibao baada ya kuwa ameshaingia madarakani kisha ndo anaibuka... tena na makinikia huku migodi mingine wakiendelea kupiga kama kawa!!!

Dhahabu inayosafishwa hapahapa inaendelea kupelekwa nje kama kawa
vita yote hii ni kwa mchanga tu wa kusafirishwa nje
hakuna alichozuuia hadi sasa
 
Kiufupi Magufuli amefeli. Anachokifanya ni ku buy sympathy tu ili kuficha failure yake....

Jiulize why tangu aingie na marekebisho yake TRA imerudi nyuma kimapato zaidi ya huko nyuma?

Budget kutekelezwa chini ya 40% ni total failure!
True jamaa kafeli so now anatafuta visingizio. Soon mshahara ukianza kuingia tarehe 35 ndio hawa wenye uelewa mdogo wataamka
 
Back
Top Bottom