Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Nimefatilia hili sakata la mchanga na ripoti iliyotolewa.
Nina maswali mengi sana ya kujiuliza;
1) Kwani Muhongo akitoka ndo suluhisho la kutoibiwa rasilimali zetu? Je, mikataba inasemaje kuhusu kusafirisha michanga nje ya nchi?
2) Hivi haya yanayoendelea kwenye hii nchi hasa katika masuala ya madini na rasilimali zetu hawa viongozi wa CCM waliopo walikuwa hawayajui?
3) Hivi ni Muhongo ndo alisaini hii mikataba ya madini na wawekezaji?
4) Aliesaini hii mikataba ya madini yupo nchini? Au alishatangulia mbele ya haki? Mi nadhani hapa mheshimiwa chonde chonde usimtoe huyu jamaa.
Suluhisho la hii wizara, na chanzo chote cha yanayotokea ni ubovu wa mikataba iliyopo. Nadhani turudi kwenye tatizo bila kumwajibisha yeyote.