Recent content by Kashaija

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mawazo yako ya kuanzisha kilimo ni mazuri ila nina maswali mawili kwako. 1. Je, unaishi huko huko Morogoro? 2. Je, kama nikisema niongeze mtaji ili tushirikiane tuweze kulima hata ekari 10 utakuwa tayari? Maana mimi niko Dar na ninafanya kazi za kuajiriwa na kwa mantiki hiyo kama tutakubaliana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa.

    Kiwanja kinauzwa eneo la Sinza karibu na Shule ya Mapambano, kina fence. Ukubwa: 4000sqft, kinafaa kwa makazi au biashara. Bei ni maelewano baada ya kukiona. Piga 0767 591610. Dalali hatakiwi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gari Suzuki Escudo

    Nipigie hata leo nikakuonyeshe. 0767 791610.
  4. K

    JamiiForums Tanzania nisaidieni naweza pata wap mkopo?????????

    Mkuu, heshima mbele, Nimevutiwa na ushauri wako kwamba kuna mtu ana hard ware anakopesha vifaa vya ujenzi, nadhani hata mimi mtu huyo anaweza kuwa wa msaada kwangu. Mimi ni mtumishi wa Serikali, ninajenga eneo la Tbt Kinyerezi na tayari nimeshapaua na kufunga grills za milango na madirisha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Dr. Slaa, tafadhali anza mazoezi ya kukagua gwaride la heshima, kwani saa ya ukombozi ni sasa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Leo Ngereja Kuongea na wafanyabishara wa mafuta

    Hakuna lolote la maana atakaloongea zaidi ya kuwabembeleza.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, hizi pikipiki ni masalia ya uchaguzi uliopita au ni maandalizi ya uchaguzi ujao?

    Jana nilikuwa kwenye semina pale M'nyamala - K'ndoni katika ukumbi wa vijana. Nilishangaa kuona kuna pikipiki nyingi takriban 300 ambazo tayari zina usajili zikiwa zimeifadhiwa pale, na kwa jinsi zilivyojaa vumbi, inaonekana zimekaa pale mda mrefu kidogo. Sikuweza kupata mtu wa kunipa jibu la...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Painfull truth (inauma kweli!!)

    Mh. Nyambali Nyangwine anaangukia kwenye kundi gani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Painfull truth (inauma kweli!!)

    Most 'First Class!' students get senior technical and scientific jobs and some of them become Doctors and Engineers. The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators / Managers / Executives and control the 'First Class'. The 'Third Class' barely passes (or claims to...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

    Huo ni mtizamo wako, lakini Zitto hajalalamika kuhusu kutokaimishwa nafasi hiyo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Shule ya Tusiime inaelekea kubaya/inachungulia kaburi

    Tatizo kubwa liko hapo kwa mwenye shule kukubali changamoto ya kuanzisha bodi ya shule, maana anahisi bodi itaanza kuhoji namna ya matumizi ya hela nyingi anayoipata. Pili, wazazi takribani wote wanaonekana kuridhika, hakuna anayepiga kelele. Nadhani labda hawana hata muda wa kufuatilia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Shule ya Tusiime inaelekea kubaya/inachungulia kaburi

    Mpaka kufikia mwaka 2005, shule ya TUSIIME iliyoko Dar es salaam maeneo ya Tabata Segerea ilikuwa inavutia sana wazazi kupeleka watoto wao kutokana na mambo kadhaa kama; Ada ilikuwa ya kawaida, Idadi ya watoto kwa kila mkondo kati ya 25 hadi 30, walimu kujituma na kufuatilia wanafunzi kimasomo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mbowe apewa dhamana

    Hapo kwenye puple vipi?
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM Itateua Mgombea wake wa Urais kutoka Zanzibar

    Who cares, kinachojulikana ni kwamba 2015 ni Chadema itaongoza nchi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kweli JF ni mambo yote!
Back
Top Bottom