Hivyo jasusi ni mdogo wewe kiumri wa kujuwa alifanya nini?Tulimteua Mwinyi kuwa mgombea baada ya Nyerere kustaafu. Alifanya nini kusaidia kuimarisha mwungano? Nduhu!
-Aliondowa pasi za kusafiria na kujaza watu wa bara Zanzibar kinyume na alichofanya Nyerere kuwajaza Wazanzibari bara!
-Alilazimisha vyama vya siasa viwe vya pande zote na kama si yeye basi kusingekuwa na CUF bara
- Aliwadanganya Wazanzibari kuwa ni sehemu ya Muungano kwa kuliuwa Azimio la Arusha na kuzaa lile la Zanzibar huku karume alisema mwisho Chumbe.
- Alianzisha mtindo wa kuwafanya viongozi wa ZanZibar kujenga makazi Bara kiasi kwamba kila Kiongozi wa Zanzibar basi amejenga Bara
Bado unataka orodha ya aliyofanya Mwinyi kwa ajili ya Muungano?