Je, hizi pikipiki ni masalia ya uchaguzi uliopita au ni maandalizi ya uchaguzi ujao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, hizi pikipiki ni masalia ya uchaguzi uliopita au ni maandalizi ya uchaguzi ujao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kashaija, Jun 22, 2011.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  DSC00376.JPG

  Jana nilikuwa kwenye semina pale M'nyamala - K'ndoni katika ukumbi wa vijana. Nilishangaa kuona kuna pikipiki nyingi takriban 300 ambazo tayari zina usajili zikiwa zimeifadhiwa pale, na kwa jinsi zilivyojaa vumbi, inaonekana zimekaa pale mda mrefu kidogo.

  Sikuweza kupata mtu wa kunipa jibu la uhakika, ila bado najiuliza, Je, ni za nani? Kwa ajili ya kazi gani?

  Angalia picha imeambatanishwa.
   
Loading...