Kiwanja kinauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kashaija, Aug 31, 2012.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kinauzwa eneo la Sinza karibu na Shule ya Mapambano, kina fence. Ukubwa: 4000sqft, kinafaa kwa makazi au biashara. Bei ni maelewano baada ya kukiona. Piga 0767 591610. Dalali hatakiwi.
   
 2. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  Yaani kaka yangu nitoke Chakwale huku Berega, Gairo nije kukiona ndio unipe bei kiongozi? Weka tu bei hapa iwe rahisi kwa watu kuamua mkuu, huku kwetu elfu 15 napata kiwanja na miti yote iliyomo ndani tena cha barabarani sasa nikija na hiyo picha kichwani mkuu si tutakwazana bure kisha!
   
 3. MARILYN

  MARILYN Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wekw bei mkuu, yaani hadi nije dar?
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yani mpaka nitoke huku Sambrichore Tarime nije Dar ndio unipe bei mkuu lol!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Acha biashara ya gizani, kimwagie sifa hicho kiwanja na bei yake. Acha longo longo.
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Long time no see kaka!!
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shark nipo kaka, niambie mpango mpango au siyo????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...