gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
wana jamvi nisaidieni jamani, niko very serious nataka mkopo nijenge nyumba. ninayosite but haijapimwa ila natamani kweli kujenga kajumba kadogo kazuri. cash on hand sina na sina kitu cha kuweka kama dhamana zaidi ya salary slip yangu. kwa bahati mbaya last year nilikopa bank NMB nikapeleka wadogo 2 chuoni mmoja kusomea degree mwingine diploma. nilitumia utaratibu wetu wa watumish wa umma kukopeshwa kwa security ya kazi sasa je ni wapi naweza kupata mkopo tena ili nijenge? au wenzangu mnanishauri nifanyeje? But real natamani kujenga nyumba nyingine zaid.