Recent content by Kashai

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnielekeze Ku-hide some Members Nisione POST na COMMENTS Zao.

    Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani., Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari kavu, Kariakoo, Posta na Ilala ziko karibu kuliko Temeke, Chang'ombe na Tandika

    Na Vipi Kuhusu keko na Kurasini !?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Nilipoona Post tuu ya Moto nikawaza hichohicho 😅, Ni kama jamaa alikuwa anatuandaa...!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Dada SERAN na Kaka MANYANZA Please Nawaomba Msigombane na Watu Humu JF, Hata Wawachokoze Vipi Nyie wakalieni Kimya Tuu, Msije Mkapigwa BAN. Binafsj Nawategemea Sana Nasubiri Nimalize internship December 2027 nipate Leseni, Huu Uzi Utanisaidia Kupata Kazi ya Ualimu. Mungu Awabariki Sana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yanga anafungwa leo

    Mudathir Asianze Leo huwa anapoteza sana Mipira, Max, Damaro, na Abuya Wakianza Wote Mnyama Anakufa 2 na Zaidi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Babati kila MWANAMKE ni mzuri ndugu zangu njooni muoe huku

    Tulikuwa Nao wengi Chuo, Ni wazuri kweli ila Umalaya Sasaa 🙌 ,, Na wakikuelewa Wanakutongoza, Nilitongozwa na Mabinti Wanne kutoka Babati, Watatu nilikuwa nao Mwaka wa 2, Mmoja 1st Year. inshort Hakuna MKE Kulee....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Seran Mimi Nitafutie za Usafi na Laundry Kiingereza kinapanda Fresh hivyo hata Sehemu za wageni Naweza Fanya.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Subscribed......✍️
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu

    Brother Mimi Nina imani AJIRA nitapata tuu... Na Ukiwa Mwanaume uwe na Uwezo wa kuona Mbele, Haya Vipi Angeshika Ujauzito Na Baadae sote tutengane !? Si Mngesema Nimeleta singo Maza !?? Halafu kumbuka sisi sote tumesoma Mtaala huu Mpya, Halafu kumbuka Walimu wa Primary Huajiriwa sana Kuliko...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu

    Jana Rasmi Nimeachana na Mpenzi wangu, huyu Binti Tulipendana sana Wakati tupo Chuo, Mimi nikiwa Mwaka wa Pili, yeye wa kwanza, Sote Tumesoma Diploma. Mimi ni introvert hivyo huwa napenda sana kutafakari Sana Mambo, Hivyo Jana Nikaona Nimuulize ikitokea sote Tukapata AJIRA Serikalini Mahusiano...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kujifunza Photography

    Sina kitu kaka ndo naanza maisha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kujifunza Photography

    Asantee, ila simu yangu Uwezo Mdogo Sana. Ngoja nitafute Studio nianze Kujifunza na kujitolea kama Alivyonishauri Real Mamy hapo chini.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kujifunza Photography

    kwa kutumia Camera
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kujifunza Photography

    Wakuu Habari za Uzima, Wapi naweza Nikapata Sehemu ya Kujifunza Kupiga Picha "Photography" !? Sina Pesa ya kujifunzia ila nikipata Mfadhili au Sehemu ya kujifunzia Bure Nitashukuru, Nimeona niwe na Ujuzi Mwingine Wa Photography Wakati huu natafuta kazi ya Ualimu. Mungu Awabariki.
Back
Top Bottom