Naombeni hekima zenu

Naombeni hekima zenu

Mkuu hata Ajira yenyewe hamjapata mnatengana kwa sababu ya Ajira ambayo haipo?

Wewe na yeye nyote vilaza tu
Brother Mimi Nina imani AJIRA nitapata tuu... Na Ukiwa Mwanaume uwe na Uwezo wa kuona Mbele, Haya Vipi Angeshika Ujauzito Na Baadae sote tutengane !? Si Mngesema Nimeleta singo Maza !?? Halafu kumbuka sisi sote tumesoma Mtaala huu Mpya, Halafu kumbuka Walimu wa Primary Huajiriwa sana Kuliko Secondary.

Mimi naona sijakosea Kumuuliza hilo Swali This Time.
 
Back
Top Bottom