Recent content by kasangezi kwetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasababisha ugonjwa wa kutotaja majina

    manufaa ya taifa lisilo kuwa na uwajibikaji unafikiri ukitaja harafu ukapotezwa kama chifupa nani wakukumbuka?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za watu mtaani juu ya CCM

    Kivuli cha zitto kitawasumbua sn mana sasa kila muhafidhina haoni raha bila kumtaja zitto na bado huo ni mwanzo kama kaboronga sijui katumwa eti kibaraka mfukuzeni muendelee kukijenga chama sasa inamaana gani watu wazima kumtukana kijana mwenyewe mdogo anawasumbua vichwa majitu mazima mbona ovyo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahodha kupokelewa kwa shangwe zanzibar

    Ambao mnaona zitto ni mzigo chadema ondokeni ninyi muanzishe chama kingine cha wakaskazini manake wote mnao bweka humu ni walewale lema style wakati zitto anachukua kadi mlikuwa ccm mnambwelambwela leo hii mmekuwa wajuaji rudini mliko toka bana! manake inawauma sana zitto mwanaume bwana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nilichukua kadi ya CHADEMA mwaka 1993, Wakati wengine wakiwa bado CCM

    acha upuuzi wako wewe labda kama unaabudu mashetani niwapi ilipo andikwa sheta alikuwepo kabla ya yesu yaani kwa hoja zako za kumtete slaa ndo useme shetani alikuwepo kabla ya yesu nyang'au mkuwa wewe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nani anayegharamia mikutano ya Zitto inayoendelea?

    na bado mlifikiri mtamzimisha kiurahisi zitto ni gogo la ubani kadili linavyo waka ndivyo linavyo toa harufu sasa mtachonga sana jamaa kwa nyota aliyo nayo mtaishia kunuka midomo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lipumba aitaka CHADEMA kusuluhisha mgogoro na Zitto Kabwe

    Inawezekana hamad rashidi hakuwa na ubora kuliko zitto na zaidi ya hapo lipumba anajua umuhimu wa zitto kuliko unavyo dhani zitto ni kiongozi bora coz anasimamia kile anacho fikiri ni cha kweli.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Zitto "Nina jasho langu CHADEMA" ina maana gani?

    mbona unakuwa mgalatia aliye logwa watu kweli ni wagumu kuelewa ndo mana ccm wanazidi kuwaibia aombe msamaha kwa kosa gani? usaliti upi? uhaini upi mbona hamtaji ninyi mnabweka tu hivi kama alifukuzwa sekondari na leo hii ana fight for phd itakuwa uanachama? wanawasihi mjadili mambo mengine...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    wewe unajambajamba tu.mfukuzeni ili muendelee kutunisha saccos ya mtei.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    mtu anaye zungumza facts chadema ni msaliti,mhaini na mnafiki sasa huo ni udikteta ulio bobea.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    wewe unamwonea huruma ili iweje?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    sasa kama anajimaliza we kinacho kuwa ni kipi? hata ye kaisha jua kwa chadema sio liziki hivyo hana haja ya kuremba na kaisha jipanga kuwa raia mwema wewe acha kuwashwawashwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Jamani ninyi wasiwasi wenu nini? kweni akifukuzwa nyie mtaathilika kitu gani? mbona mnatoka povu mwacheni anajua anacho kifanya tena anajua kuliko ninyi kwani ana mwanasheria sawa? acheni kutoa povu wanaharamu nyie.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    mbowe anajua kama chadema inakufa ndio maana hakuna ujenzi wa ofisi makao makuu wala mikoani coz anajua chama kitakufa na hakutakuwa na ushahidi wa ofisi za chama. pela zote zinazoingia ananunua majumba dubai nyingine anamkopesha slaa kuna chama tena hapo?
  14. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    zitto ni mwanasiasa aliyekomaa anajua anachokifanya yuko makini zaidi ya unavyo dhania so leave him alone kama ni majanga ni yake kama ni mafanikio ni ya kwake hakuna jipya mpanda ngazi hushuka so hata akifirisika kisiasa ye sio wa kwanza men.
  15. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Usipo kubali hadharani utakubali kimoyomoyo.
Back
Top Bottom