Nahodha kupokelewa kwa shangwe zanzibar

Nahodha kupokelewa kwa shangwe zanzibar

Ambao mnaona zitto ni mzigo chadema ondokeni ninyi muanzishe chama kingine cha wakaskazini manake wote mnao bweka humu ni walewale lema style wakati zitto anachukua kadi mlikuwa ccm mnambwelambwela leo hii mmekuwa wajuaji rudini mliko toka bana! manake inawauma sana zitto mwanaume bwana anajipeleka chooni mnamwaga mboga anamwaga ugali.
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Sisi waTanzania hasa CCM ni wapuuzi sana, how comes mtu anaharibu kinoma kama hawa mawaziri alafu watu wanaandama kumpokea? Au ndiyo zile njaa zetu, watu wanaendekeza matumbo kuliko uhalisia? Watu wanakosa huduma muhimu wako kimya, bei ya vitu inapanda holela watu wako kimya, lakini kajiuzulu mtu kwa kushindwa au kusababisha dhuluma kwa watu kwa maamuzi yake basi utakuta watu wanaandamana, tuache huu upuuzi!
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Hivi sisi watanzania kujipendekeza kwa watu wenye ukwasi kutaisha lini, mtu kafanya unyama kwa wananchi wenzenu ninyi badala ya kumchukia mnajikomba kumuandaaria mapokezi makubwa, mnataka kumuonyesha alilolifanya ni la maana sana au?
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

ndo namna tulivyolelewa na ccm bana.....hatuna uwezo wakutafakari na kuujiuliza maswali yanayohusu mustakabali wa taifa..tupo 2po tu..zetu khanga, vilemba na ubwabwa...
 
Back
Top Bottom