Babkey
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 4,838
- 3,674
Unadhani? sisi tunataka uhakika wewe unadhani.... dah
teh teh....mkuu kila "uhakika" utakaowekwa, wahusika wanaukana na kusema wanaonewa.
Labda na yeye alibeba zile pesa za chama ndio anazifanyia kazi sasa...si alishasema msiwaamini wanasiasa!

