Watu wameanza kusema,ukitaka kula pesa za wajinga jiunge ccm. Wanasema kuna options 2
1.Unaweza kutapeli kama yule jamaa aliyesema nimeaga kwetu Kg.
2.Unaweza kuiba,kwani watakwambia urudishe bila kuchukua hatua.
Wengine wansema,ukitaka kupanda cheo
1.Iseme vibaya chadema na kuahidi kuisambaratisha
2.Uue kama Michael Kamuhanda nk.
Eti hiki ndicho chama tunachokitegemea kuleta maendeleo.....ushe.nzi mtupu.
Kauli za watu mtaani juu ya chadema na babu Slaa
Watu wameanza kusema huku ziara za kichama za babu na wengine zikiendelea
1. Mashoga: "Tukiichagua cdm tumeula, mabwana toka ulaya nje nje, babu silaa anatupenda atatuletea mabwana"
2.
Wanywagongo: "Tukiichagua cdm ni burudani kweli, yani sitasumbuka kufanya kazi ya nguvu nikijipatia mia mbili tu mapemaaa kwa mama muuza"
3. Machangudoa: "Babu ni mtetezi wetu, tukimuweka tu madarakani hakuna tena kujificha, biashara nje-nje kwa rahaaaa bila bughudha"
4. Vibaka na Wavuta bhangi: "Sela cdm ndio mpango mzima, babu anatupenda, kahalalisha gongo sasa hivi anakuja kuhalalisha bhangi, cdm oyeeeeeeee"
5. Wasiopenda kufanya kazi- wakaaji wa vijiweni: "cdm mpango mzima, ikiingia tu madarakani, kila mtanzania analipwa mshahara aseee tuichague ati yani tutaendelea kukamua mtaani huku mwisho wa mwezi babu anatulipa mshahara si unaona hata wabunge wetu wengi wametoka humu vijiweni kwahiyo na sisi tutakua na magari kama wao...."
6.Wauza gongo: "Kweli hiki chama kimeanza na Mungu yani hatimae tumekumbukwa sasa hivi naelekea kariakoo nikaongeze vifaa maana ifikapo 2016 wateja wataongezeka, Mungu azidi kumuweka hai mkombozi wetu babu, babu katukomboa, nasisi sasa viwanda vyetu vitafanyakazi bila kificho, cdm chini ya babu oyeeeeee"
Siyo yangu haya, nimesikia tu mtaani wanavyoongea.... kwa wachache niliokutana nao sasa sijui bado makundi mengine yenyewe yanasemaje nitaendelea kuwafahamisha wanasemaje