Zitto: Nilichukua kadi ya CHADEMA mwaka 1993, Wakati wengine wakiwa bado CCM

Status
Not open for further replies.
acha upuuzi wako wewe labda kama unaabudu mashetani niwapi ilipo andikwa sheta alikuwepo kabla ya yesu yaani kwa hoja zako za kumtete slaa ndo useme shetani alikuwepo kabla ya yesu nyang'au mkuwa wewe.
 
Gongo kama gongo ni kinywaji kinacho ua nguvu kazi nyingi sana ya TZ!
Gongo ikitengenezwa kitaalam haina madahara kiafya

Viroba vikinywewa kwa kiwango cha kawaida ina madhara gani?Viroba vinakuwa na madhara kama vikinyewa to the maximum!Vijana wengi wanakunywa viroba kupitiliza na ndiyo maana wanaathirika!!

Gongo ikitengenezwa kitaalam inakuwa haina madhara!

Gongo na Viroba kuna tofauti gani??
 
kile anachofanya mtu ndicho muhimu na kinaweza kuchambuliwa. wako wengi walijiunga na cdm 1993!
 
Swala la msingi SIO MIAKA MINGI KWENYE CHAMA bali USALITI NDIO HAUTAKIWI. Waliokuja juzi kwenye chama ndio WAZALENDO yeye aliyejiunga zamani keshanunuliwa na mafisadi.
 
Wadau wa JF!
Nimefurahishwa na kauli aliyoitoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini mh Zitto. Ya kuwa yeye Zitto alichukua kadi ya chadema akiwa na miaka 16 mwaka 1993 wakati "hao wenye midomo mikubwa wanao ongea sasa walikuwa wamewakumbatia watawala"

Zitto wakati anachukua kadi ya chadema mwaka 1993, Katibu Mkuu wa chadema Dr Slaa alikuwa yuko CCM.

Kumbe Zitto ana miaka mingi ndani ya cdm, kuliko hata Viongozi wake!!

SWALI: Lissu, Mnyika na Lema walikuwa wapi mwaka huo??

Hata Yuda Iskari Yote alikuwa mmoja kati ya wafuasi ws Yedu Kristo,lakini kwa tamaa kama za Zitto alipokea hongo akamsaliti Yesu,
Kuwa wa kwanza kuchukua kadi haina maana kama eeee ni msaliti, kama Yuda
 
Waswahili wanasema, kutangulia si kufika.

Ingekuwa kutangulia ni kufika basi wakubwa wote wangefanikiwa zaidi ya wadogo.

Politics is an art, how you hook them up and punch.

And while longevity could certainly help on a number of issues, banking on longevity shows you don't have much to bank on.

Zitto, usituambie umekaa CHADEMA miaka mingapi. Even a sitting duck can claim longevity.

Tuambie miaka yote uliyokuwa CHADEMA umefanya nini.
 
Ungemuuliza kwann labda hakuanzisha chama chake kama anajihisi alikua na vision kuliko hao anaowateta?
Kisiasa huyu jamaa alishajimaliza tokea alipounda team na maccm


Kumbe tatizo lake alianza hayo mambo akiwa MINOR so ana alot of expectation ILA ANGESUBIRI AKOMAE ANGEELEWA NINI MAANA YA MFUMO WA VYAMA VINGI NA NINI MAANA YA CHAMA CHA SIASA .
 
Hilo halimwondolei hali ya usaliti aliyonayo.Huu ni uzuzu kwa mtu kama yeye kuzungumza upumbavu wa namna hiyo.
Wadau wa JF!
Nimefurahishwa na kauli aliyoitoa Mbunge wa Kigoma Kaskazini mh Zitto. Ya kuwa yeye Zitto alichukua kadi ya chadema akiwa na miaka 16 mwaka 1993 wakati "hao wenye midomo mikubwa wanao ongea sasa walikuwa wamewakumbatia watawala"

Zitto wakati anachukua kadi ya chadema mwaka 1993, Katibu Mkuu wa chadema Dr Slaa alikuwa yuko CCM.

Kumbe Zitto ana miaka mingi ndani ya cdm, kuliko hata Viongozi wake!!

SWALI: Lissu, Mnyika na Lema walikuwa wapi mwaka huo??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom