Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

Status
Not open for further replies.
jamani hii si sawa...! Watu watanzania waishio Kigoma wana haki kufanya wanachokiamini. Kama wanachokiamini hamkubaliani nacho ni jukumu lenu kuwaelimisha waamini vinginevyo tena kwa lugha ya staha. Mnachokifanya ni kuongeza chuki ambazo hazisaidii kamwe kuimarisha umoja wa watanzania.

Ebu waelimisheni watanzania wenzetu hawa wajitambue kwa namna ambayo inaimarisha umoja wa Watanzania wote.

Nina imani Nicholas utaniunga mkono katika hili.
Who cares?
 
Kwani hatuwezi kujadili mambo bila kuwekeana mipaka....wanamwanza,wanakigoma,wanaarusha n.k....what does it really mean?
Nilidhani maisha ya utanzania....mtu kuishi popote pale na kujiita mtanzania badala ya sehemu husika either kijiji,wilaya au mkoa lakini naona ukanda na umkoa unakuja kwa kasi!
This is a very small issue but with a huge impact ahead!

Jambo la maana sana hili ubarikiwe mkuu.
 
Nmegundua kitu kimoja kuna wafuasi wa mbowe na zito ,, ila napenda nwakumbushe kitu wabungee wote wa Nccr walifukuzwa chadema Ndo maana Chadema ilipoteza majimbo meng kigoma .kwa sabab Hawa watu walikukuwa weshajijenga kigoma vilevile kura za urais nying zilitoka kigoma kuliko mkoa mwingin wowote kwa nguvu za zito ,,mkiimfukuza huyu mtu mtajichimbia kabur kigoma
 
Kama umewah ikuguza mgonjwa mahtuti kwa muda mrefu siku anyokaribia kufa utashangaa kuoa nafuu kubwa atakayopata!! hizi nd siku za mwisho kabisa za uhai wa kisiasa za ndugu zzk!! R.I.P My MP!!
a
 
Alisha kiri kuwa hata jimbo alilikuta limeiva likiwa na wanachama na wenyeviti wa kijiji wanne.

kumbuka kuwa hata kura za maoni 2005 hakushinda bali alishindwa na mwenyekiti wa wilaya, KK ndio ilikuja kumpa nafasi ya kugombea badala ya yule aliyemshinda, huku akiwa financed kwa gari na fedha na mwenyekiti wake wa sasa ili ashinde jimbo.

MM kuwa maarufu kuliko chama ni sawa na kufikiri kuwa waziri wa fedha ni maarufu kuliko fedha, mwaka 2004 aligombea serikali za mitaa kinondoni akaambulia kura 4, kama angekuwa maarufu alitakiwa kuanza kushinda serikali ya mtaa kwa kura nyingi tofauti na hizo kura 4, na kwenye jimbo alitakiwa kumshinda mwenyekiti wa wilaya.

I stand to be corrected, But any party leader or member who think can be more popular than the party itself that made him/her shines, does not deserve to be in the coarse of that part to pursue the coarse of changes. it is like a river, a river which forget its source will soon dry out.

Hujaongea kitu, pumba tupu. Sasa kuna connection gani kati ya post hii na hizi pumba zako?
 
Mikutano yote hii inabaraka za KK ya CDM, na baada ya hapo wanataka afanye mikutano na Dr ili kupunguza mgawanyiko ndani ya CDM, sijui kama atakubali.

Zitto babalao, na bado
ANACHOFANYA zITO NI KALE KAUJINGA KA KUMBIKUMBI,YAANI KUMBIKUMBI HUFIKIA MAHALA NA KUJIONA ANAWEZA KUISHI HATA AKIWA NJE YA KICHUGUU,LAHAURA KUMBIKUMBI,HUPATWA NA MABAYA AWAPO NJE YA KICHUGUU,HULIWA.

ZITO AMERUKA,BADO KULIWA
 
ANACHOFANYA zITO NI KALE KAUJINGA KA KUMBIKUMBI,YAANI KUMBIKUMBI HUFIKIA MAHALA NA KUJIONA ANAWEZA KUISHI HATA AKIWA NJE YA KICHUGUU,LAHAURA KUMBIKUMBI,HUPATWA NA MABAYA AWAPO NJE YA KICHUGUU,HULIWA.

ZITO AMERUKA,BADO KULIWA

Kuna matatizo makubwa na huyu ztto nadhani
 
mbowe anajua kama chadema inakufa ndio maana hakuna ujenzi wa ofisi makao makuu wala mikoani coz anajua chama kitakufa na hakutakuwa na ushahidi wa ofisi za chama. pela zote zinazoingia ananunua majumba dubai nyingine anamkopesha slaa kuna chama tena hapo?
 
ndugu wewe unamtindio wa ubongo......nani kakuambia uandike dhihaka hiyo ..mimi bnafsi ckuelewi kabisa wale maengineer,madaktari,mabondigadi wa maraisi,wale wacheza kabumbu,wale mashekh na wachungaj maarufu kama kakobe na mufti,wale wa baraza la mitihan,lecturers,waimbaj wa nyimbo nzuri kama akina upendo nkone,walewapingania uhuru enzi za tanu,wafanya biashara mbalimbali kama akina idd simba na professionals mbalimbali,kwel...tuache hilo

rudi kweny historia....kigoma mwaka 1954 ulikua mkoa wa tatu kwa maendeleo tz(takwimu hizi zinzpatikana tamisemi).....pia kigoma mwaka 1980 kulikua na daladala znabeba abiria wakati songea...walikua bado wanatumia baiskel na magari ya vyama vya ushirika.....,kubeba abiria.

Ndugu yangu umewatendea kosa kubwa mno....watake radhi.umaskin wa kigoma ulichangiwa na serkal ya ccm.....nimeamua nkuattack kwasababu leo umeanza na kigoma kesho utaenda....tabora.cc wa kanda ya ziwa nd o tuoweza kuleta mapinduzi ya kweli kama yale ya mwl .nyerere....na tulikua hatujui nia yenu...hatutamwachia huyu kijana tuone kama hiyo ikulu mtaiona...mnatubagua kwa kua hatutokei kaskazn .vuten nas tunavuta kvyetu

amag`ana mura.............nawasilisha

Sasa waambie hawo ulowataja waaache hizo shughuli tuone TZ itayumba vipi?
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mh zitto kabwe mbunge wa kigoma mjini kwa ziara aliyoifanya jimboni kwake hivi karibuni.ni busara na uwajibikaji mkubwa sana kukutana na wapiga kura wako yaani unaowawakilisha.kwa kufanya hivyo unawapa fursa wapiga kura wako kukueleza matatizo yao na ww kuwapa taarifa ya maendeleo ya ahadi zako.lakini kinacho nishangaza ni kitendo cha ww kufanya ziara kwenye jimbo la kasulu nashangaa kwa sababu zifuatazo ,
1.jimbo la kasulu sio lako
2.kwanini ufanye ziara kama mbunge kwenye jimbo lenye mbunge kama wewe?
3.je kuna mbunge yeyote amewahi tembelea jimbo lako kama mbunge wakati ww mwenye jimbo upo bungeni?
4.inge kuwa nikipindi kile ulipo kuwa naibu katibumkuu wa chadema ili kuwa sawa maana ulikwahuna mpaka.
Vilevile nimefuatilia sana hotuba yako jimboni kwako hakuna mahala umeongelea maendeleo/matatizo ya jimbo lako.hotuba yako kwa kiasi kikubwa ililenga kutaka kuhurumiwa na wanakigoma,pia kuwa aminisha kua wanakigoma wanapigwa vita ndani ya chama chako jambo ambalo sila kweli .haiwezekani kosa la mwana kigoma mmoja liwe la wanakigoma wote.mbinu hiyo kwenye siasa ni chafu maana unajenga hisia mbaya sana kwa wanakigoma juu ya ushiriki wao kwenye siasa za nchi hii kupitia vyama wanavyovipenda.leo umeanza na siasa za kimkoa na kikabila,je nikitu gani kitakachokuzuia kuanzisha siasa za kidini?je huoni kwamba kwa kufanya hivyo unakosa sifa za kuwa kiongozi wa umma?.maana hata apo kigoma unapoongelea uhaa si waha tu waliokupigia kura bali hata watanzania wa makabila mengine waishio walikupigia kura .mwisho napenda kukumbusha kuwa mchezo wa siasa hauna sare la zima mshindi apatikane kati yako ww na chamachako je utaweza kuishinda chadema tafakari chujua hatua.MODS NAOMBAKWA HESHIMA KUBWA UZI WANGU MSIUFUTE HARAKA.nawasilisha.
 
Wana jamii inasikitisha sana watu wana tukana matusi tena machafu, eti watu wa Kigoma wana matatizo kwenye ubongo km alivyoandika mdau hapo chni kwa kutumia tafsida, kisa kumpokea Zito kabwe. ati ulisoma nao wana matatizo upstairs (kichwani) nani ana matatizo Kichwani kati ya wana Kgm na wewe? mbona wananchi wa Monduli walipomokea mwizi Lowasa au wananchi wa jimbo la Andrew CHENGE hamkuwatukana kuwa hawana akili vichwani? tatizo mnataka watu wote wawe na mawazo sawa km nyie.


Nimesoma nao wengi sana ila nadhani upstairs huwa kuna shida fulani!!!!!![/Q
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom