Salaam's Mimi nimesoma Sabasaba ,Nimemaliza mwaka 1986 ,Nakumbuka Mwalimu Mkuu alikuwa Mama Staki ,Mwalimu wangu wa Darasa la Kwanza alikuwa Mwalimu Seme ,pia naakumbuka Baadhi ya walimu kama Mwalimu Saidi ,Mwaitebele ,Phidelis ,Mwalimu lupola, mwalimu Mohamed kamanda wa Chipukizi ,Mama Komba...