Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
- Thread starter
- #41
Nafikiri inabidi hata wewe ukubali kuwa G-Funky Ilitawala, inatawala na itaendelea kutawala na hasa bahati yao kubwa ilikuwa kuwapata watu wanne yaani Tupac, Dr. Dre, D.O.C na Snoop na huku nyuma yao akiwa amesimama Myahudi aitwaye PIANO MAN au Scott Storch (Sijui kameishia wapi na kubuguia unga?) Ila ukweli ni kuwa Piano Man bila Dre na D.O.C si mali kitu.
Scott ni noma aisee..na ile kinanda! Dr. Dre alijivunia sana kuwa na hicho kichwa. Hadi akawa na bifu na Jermaine Dupri juu ya upigaji wa kinanda, kumbe alikuwa akijivunia mkono wa Storch.
Hivi unafahamu ile ngoma ya Fat Joe, 'Lean back', Scott ana mkono wake mule? Pamoja na hizi:
1. You got me ya The Roots, 1999.
2. Still D.R.E ya Dr. Dre ft. Snoop, 2001.
3. Break your neck ya Busta Rhymes, 2001.
4. X ya Xzibit, 2000.
5. Just a little bit ya 50 Cents, 2005.
6. I'll hurt you ya Busta Rhymes, 2004 au 2005.
Scott alikuwa noma. Nasikia sasa anadai ameachana na ujunkie! Sasa sijui kama ataendelezea mikuno yake.
Last edited by a moderator: