Recent content by kanuni tamu

  1. kanuni tamu

    Chombezo: Bao tatu za mgeni!

    Ama kwa hakika story hii ilikuwa tamu Sana,ahsante kiongozi,Nini alikifanya Lucas mjini mpaka akakimbilia kijijini?
  2. kanuni tamu

    Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    We utakuwa mwana reli,light loco, Emergency brake hizo ni terms za kireli
  3. kanuni tamu

    Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Tunabana matumizi ya wese,siunajua viberenge vinatumia mafuta
  4. kanuni tamu

    Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Ni kweli ajali imetokea Ni kati ya station ya Kigwe na Bahi,kwa taarifa za muda huu abiria watatu na mfanyakazi mmoja alietambulika Kama Swaum Mwandwaun wamefariki pia kuna majeruhi kadhaa Tusubiri taarifa zaidi
  5. kanuni tamu

    CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

    We mjua takwimu bei ilikuwa hivyo baada ya ndg yako kukamata dola nini kilitokea?
  6. kanuni tamu

    Cheaters: The Series

    Hongera Bro,na pole na hekaheka za uzazi tuko pamoja sana
  7. kanuni tamu

    Cheaters: The Series

    Hongera Kigakoyo,nimezipenda sana simulizi zako,natamani niyajue maisha ya Marga na yule msaliti wako aliyekupoka kampuni
  8. kanuni tamu

    Ukitaka kujua ni jinsi gani GSM wanavyoanza Kuhatarisha Amani ndani ya Klabu ya Yanga kwa Usanii wao juu ya Mchezaji Bernard Morrison fuatilia hili

    Yanga kiukweli kabisa wamechoka!!kuna ukweli unafichwa kwa maslahi ya watu,kuendesha club kubwa kama ni gharama kubwa sana,tunahitaji wachezaji professional, tunahitaji kocha wa kiwango hicho,chanzo cha hela ni kutoka kwa Gsm hv gsm anapata nn kwa yanga,tukubali nyakati tubadilishe katiba club...
  9. kanuni tamu

    Cheaters: The Series

    Kiga!!salute kwako Bro,najua unazo nyuzi nyingi tupo kwa mkao wa kupokea nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kanuni tamu

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Ngoja nikaoge nilale,nisubiri nyungu part 2 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kanuni tamu

    Cheaters: The Series

    Da we jamaa noma huwa naburudika na nyuzi zako kinoma,big up man Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kanuni tamu

    How I Met My Wife

    Makofi mengi kwako muandishi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kanuni tamu

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Ahsante baba hakika riwaya zako ziko vzr kiongozi,nitahitaji nitakucheki kwa namba zako
  14. kanuni tamu

    Stori ya kusisimua - Taxi

    Nimetumia muda wangu vzr kuisoma riwaya hii,AHSANTE SANA BISHOP
  15. kanuni tamu

    MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

    Basi ni kwa nini mheshimiwa Jembe amejijengea maadau wengi sana kwa kipindi kifupi sana cha uongozi wake?sehemu nyingine anafanyakazi vzr,issue inakuja pale anapowanyamazisha wakosaaji wake!!anaishi kwa maisha ya tabu sana ktk kipindi chake hiki hawezi kumuamini mtu yeyote yule,utabiri wangu mm...
Back
Top Bottom