At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,557
- 3,628
Ndiyo maana Magufuli hapa Mwanza alifunga shule zote ili uwanja ujae. Na kweli ulijaa, zaidi ya 60% wanafunzi watupu. Na wanavijiji walipelekewa malori. Wakazi wa mjini tukabakia watazamaji, huku tukishangaa wananzengo toka vijijini wakiletwa mjini kama magunia ya michembe.Endeleeni kushindana kujaza viwanja vya kampeni maana ndio siasa mlizobakiwa nazo.
Hujui.....Kwani nani mwanachama wa chama chochote?......Sijui.....Usione aibu ona sasa,Acha kudanganya watu wewe
Mimi mikutano yote miwili nimehudhuria.
Tulia alikuwa na watu wachache Sana jana Jana ukilinganisha na mkutano wa wiki iliyopita wa chadema.
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila kwa hapa Mbeya huyu mama ana wakati mgumu mno.
Huyu mama ni mzuri ila tatizo ni Jimbo analogombea.View attachment 1564939View attachment 1564940
Ona hii ya last week
Kiwanja ni hichohichoView attachment 1564961
Kuna video huyu dogo alibambia mpaka nikamuonea wivu



Kuna sera ujinga mtupuCHADEMA hatupimani nguvu na CCM .....mlete mada unawashwa!
CHADEMA inawaeleza watanzania sera zake sio wingi wa wahudhuriaji wa mikutano ya kampeni
Duh ndo akina dulla makabila niliokuwa nasikia kwenye matangazo yao juzi
Dhambi jamani msimtukane tulia hakupenda kuwa hivyo itukaneni ccm tuKuku kishingo hawezi kumshinda sugu hata siku moja. Usifananishe mbeya na kwa wasukuma asee.