Shukrani. Endelea kufuatiliaKigaKoyo you are the best story writer ..
Ulisimulia vizuri hata ile how i met my wife.
Let me subscribe kwenye huu uzi ili niwe najisomea series ya kikubwa.
sent using Simenzi mayai
Hii ina kila kitu bwa sheeFundi kigaaa tulimis sana hizi burudani. Bila shaka kadri inakavyozidi kusonga ndipo tutakavyozidi kudindisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri, kila inapowezekana ntakua nafanya hivyo. Khs msg mbona kama i responded to each one. Ntachungulia tena nichekiKwann usingeweka x2 per week? Halafu meseji yangu hujajibu huu mwezi wa tatu. Sijui umepatwa na nini.









nmechukua sabuni nikajua episode pendwa imefika aaarghhh
Uko vizuri aisee. Halafu unajua kumfanya mtu atamani kufuatilia simulizi. Wewe ni kama dj afro, hata movie iwe mbaya kiasi gani utaipenda tu.Wazo zuri, kila inapowezekana ntakua nafanya hivyo. Khs msg mbona kama i responded to each one. Ntachungulia tena nicheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo
Shukrani kwa muito mkuu.
Hello Jamii People. Been a while lakini yote heri au siyo. The messages that I receive mostly zinaniulizia kuhusu more stories. So nikaamua walau kila wiki niwe naandika something. Naanza na hii Cheaters. Ni hadithi ya kutunga so haina uhalisia wowote. Wale mtakafurahia rukhsa kusifu, wale mtakaoona nazingua povu rukhsa pia maana tunajifunza kupitia vyote.