MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

MEMBE: “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Mimi similiki gari. Kuna siku huwa naota naendeshaga gari, lkn wakati mwengine huota napaa angani.
 
Magufuli ni vizuri tu angekua muungwana akaachia kuliko kua rais wa hovyo kwa miaka 10
 
Heri kupata maendeleo taratibu huku watanzania waliowengi wakijikwamua kielimu na kifikira kuliko kufanywa wahudumu wa Wazungu Kama ilivyo South Africa na Zimbabwe Kabla Mugabe hajawafukuza mabeberu.

Japokuwa Zimbabwe walichelewa kuchukua hatua Sisi watanzania tunaojitambua Tunaendelea kumshukuru baba wa taifa kwa kukataa ukoloni mamboleo kisa maendeleo ya haraka haraka
Ulichokiandika hata sikielewi!
 
Usimuamini mwanasiasa wa Tanzania hata kwa 25% tu. Walioitwa mafisadi papa waliweza kupokelewa pande zote mbili na kuimbiwa mapambio. Msije kushangaa Membe nae akajikuta yupo Ikulu akiwekewa mkono wa utakaso. JIWE huwa hana dogo. Anawaumbua na kurusha video clips tangu wakiwa getini wakitweta na kutoa jasho
 
Sawa. Lakini kamwa hatapata U-JPM

Kama ilishindikana wakati wakiwa pamoja yaani mtu na kaka, itawezekanaje? (Maelezo ya Mwanaharakati Musiba - Youtube!Jamaa walikuwa wamejipanga kikwelikweli kabla ya uchaguzi wa 2015, yaani President, Foreign Affairs, Hazina!!!!!lol!! na Bagamoyo ilkuwa imeshaa kwenda Oman/China kama hazina ya vizazi vyao[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Basi ni kwa nini mheshimiwa Jembe amejijengea maadau wengi sana kwa kipindi kifupi sana cha uongozi wake?sehemu nyingine anafanyakazi vzr,issue inakuja pale anapowanyamazisha wakosaaji wake!!anaishi kwa maisha ya tabu sana ktk kipindi chake hiki hawezi kumuamini mtu yeyote yule,utabiri wangu mm itakuja fikia siku wana Ccm wataungana na wanaharakati kutengeneza katiba mpya,na joto likiwa kali jamaa atanyosha mikono
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Hamna mtu mwenye nguvu kama rais. Hata rais akiwa kingwendu, hamna atakayemuweza.
 
Basi ni kwa nini mheshimiwa Jembe amejijengea maadau wengi sana kwa kipindi kifupi sana cha uongozi wake?sehemu nyingine anafanyakazi vzr,issue inakuja pale anapowanyamazisha wakosaaji wake!!anaishi kwa maisha ya tabu sana ktk kipindi chake hiki hawezi kumuamini mtu yeyote yule,utabiri wangu mm itakuja fikia siku wana Ccm wataungana na wanaharakati kutengeneza katiba mpya,na joto likiwa kali jamaa atanyosha mikono
Majizi ndio maadui wake.
 
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bernard Membe amerusha kombora lake na kudai kuwa ni heri kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti.

Membe aliandika ujumbe huo jana kwa lugha ya kingereza kupitia akaunti yake ya kijamii ya Twitte aliandika kwa ufupi kuwa “Better to die Standing, Than to live on your knees!,”.

Baadhi ya mashabiki wake katika ukurasa huo walimsifu kwa maamuzi yake na wengine wakimuambia msimamo wake umeonyesha ni kiongozi imara hayumbishwi.

Wengine walikwenda mbali na kufananisha kauli hiyo ni msimamo wake wa kutomuomba msamaha kwa Rais John Magufuli kutokana na kukuri sauti yake imevuja katika mitandao ya kijamii juu ya kumsema Rais.

View attachment 1206501
Hapa twitter imechomekewa alama ya valid account ila ukiingia ktk hiyo account haina alama ya validity. Hivyo ni walewale WASENGErema wa kuyemgenez habari.
 
Aombe msamaha kwani Membe kamkosea nini Magufuli?

Membe kaanza kufanya kazi Ikulu wakati huo Magufuli akiwa shule ya Sekondari sasa leo hii ndo akajishushe na kuomba masamaha kwa kosa ambalo hajafanya kisa madaraka?

Membe hauyumbishwi!
Kutangulia sio kufika! Cha msingi ni kwamba JPM ni Head of State...ana uwezo wa kutoa maelekezo kichwachako kikaletwa kwenye sahani, na hutafanya lolote. Kwakifupi, he`s the most powerful man on the land.. Lazima uheshimu hilo, haijalishi kama alishafanya kazi Ikulu au la!
 
Mwmbe hata bila ku tweet kashatoa hii statement.

Tena kwa sauti yake kabisa katika maongwzi aliyodukuliwa.

Alisema anawasubiri aone watafanya nini, maana yake haombi msamaha. Kaweka mustendi.

Na mpaka sasa akitekwa tu, tunajua susoect namba moja Magu. Iwe kweli au si kweli.
"Tunajua suspect namba Moja, iwe kweli au si kweli"...hapo umeonyesha jinsigani umekuwa mzembe wa kushirikisha ubongo wakati unachangia
 
Usimuamini mwanasiasa wa Tanzania hata kwa 25% tu. Walioitwa mafisadi papa waliweza kupokelewa pande zote mbili na kuimbiwa mapambio. Msije kushangaa Membe nae akajikuta yupo Ikulu akiwekewa mkono wa utakaso. JIWE huwa hana dogo. Anawaumbua na kurusha video clips tangu wakiwa getini wakitweta na kutoa jasho
Unatisha...😆😆😆😆😆
 
hivi Membe alishawahi kuwa waziri wa mambo ya ndani?!aise itabidi nirudi tena shule.
 
Atanirudisha nyuma kiitikadi iwapo nitasikia ameenda kupiga magoti kimya kimya na kuja kutangazwa hadharani. Ernesto Che Guevara alikuwa ni moja ya wapiganaji haki hodari sana duniani na atendelea kuheshimiwa milele kwa misimamo yake thabiti.

Hivyo kama Mh. Membe anafuata nyendo zake, basi tunamtakia kila la heri.
kwa kipindi hiki huyu atajuta
 
Back
Top Bottom