Ras.
Mimi na marastafari tunafanana itikadi ila tunatofautiana imani. Naam, itikadi zangu ni za kirasta hasa, upendo na amani siku zote.
Sijakulia familia ya kitajiri, ila ni familia iliyonifundisha zaidi ya yote kumcha Mungu. Since nimekua na kujitambua Church has always been part of my life. Nakumbuka nikiwa primary ilikua mara nyingi baada ya shule ni church kusaidia usafi na kujipanga kwa ajili ya kutumikia siku za jumapili. Mwanzo haikua kwa ajili ya imani ile imani hasa, hapana nlipenda tu ile kutumikia church. Baadae nikaanza kutamani kuwa padre, na kilichonivutia ni namna walivyokua wanaongoza ibada kwa kuimba, hakuna kitu nlitamani enzi hizo kama kuwaimbisha watu ile “neendenii na amaaaaaaani", hahahaha.
So that’s why baada ya kumaliza primary nikatimba zangu seminary, pamoja na kuwa nilichaguliwa kwenda moja kati ya special schools za serikali. Sikwenda special school kwanza kwa kuwa niliamini ni ubaguzi. Ile kututenga eti hizi shule za special na hizi nyingine za nyie wa kawaida nliona ni kutubagua kwa misingi ya akili. Believe me, na umri ule mdogo nilikua napinga huo ubaguzi (ukiniuliza kama bado napinga sasa ntakuuliza kwanza ww unaamini vipi, ili nikae upande tofauti nawako then tuanze kubishana).
Sitaki kusema eti mimi genius, maana ningekua hivyo mitihani ya taifa ningekua nakua tanzania one basi, ila ndo hata kumi bora sikua natajwa, so I am no genius, I just happened to study in classes in which my classmates somehow, always came below me in academics. So back to my story. Nikafika seminary na wito wangu wa kuwa padre bado umejaa tele.
Nlipokua form 2 nakumbuka sikua na cheo chochote ila nilifanikiwa kusitisha utaratibu wa kunyanyasa form one, hasa kwenye mgao wa msosi. Nikikuta umemkata panga dogo hata uwe form 4, ntakusema mpaka utampa msosi wako dogo uliyemdhulum. Hii ikanijengea kaumaarufu flani kwa madogo, na ukizingatia walikua wengi (vidato vingine walikua wamefukuzwa sana) so uchaguzi ulivyofika bila hata kampeni nikachaguliwa kuwa head prefect. Watu watauliza bange ulianza lini hahahaha, hukohuko seminarini. Bt simlaumu aliyeniintroduce na mjani. Zaidi ninamshukuru tu.
Nakumbuka hamu yangu ya kuwa padre ilianza kupungua nikiwa f3 mwanzoni. Kuna padre mmoja alikua mtu wa totoz sana, sasa mi ile kitu nikawa sikubaliani nayo, na nikawa natamani sana kumchana kuwa mienendo yake ya kula kondoo wake inatukwaza sisi anaotulea kiroho. Mara nyingi night alikua analeta madem, sasa siku hiyo nikawaambia vijana tunatakiwa tuweke ulizi maana kuna vitu vinaibwa. Tukakaa nao guard. Ile faza kaja na ndinga yake, nikajitokeza.
Kaanza kuwaka pale. Of course na mimi nlikua na stim za mjani, nikampa vidonge vyake, na kuweka ushahidi nikafungua mlango wa gari na kumuweka wazi dem wake, bila kujua kumbe alikua ni madam Suzy mwalimu wa English aliekuja field hahahaha. Faza ilibidi apande gari amrudishe.manzi alikotoka. Kesi ilikua kubwa, hadi kwa bishop, maana mashahidi ninao. Ila ikabidi nikutwe na hatia ya kukaa nje ya dormitory muda wa kulala. Nikatimuliwa. Bahati nzuri nlifanikiwa kuwatoa wale madogo wengine kwenye hatia maana walitaka watutimue wote. Mkwara nliowaoiga nikuwa wakiwatimua wale madogo hii scandal inafika hadi kwenye magazeti ya shigongo tuone kama hatujaharibu reputation ya kanisa, wakanywea.
Kabla sijaondoka, nikafuatwa na padre mwingine akasema unaitwa na askofu. Akanipakiza kwenye gari yake hadi cathedral. Kufika pale nikapewa audience na baba askofu, yaani kijana wa 17 yrs anakaa kujadiliana na bishop. Kimsingi aliniambia anashukuru kwa kumuexpose padre yule kuwa hafai kulea miito ya vijana na atamtoa pale. Then akaniuliza plans zangu. Nikqmwambia mpaka nikaonane na mzee kwanza. Bishop ndo akanipa story ya padre mmoja yupo Roma.
Anasema huyu padre alikosana na mkuu wa shule ya seminari aliyokua anasoma. Na kwa hila yule Mkuu akamtimua. Huyu kijana kwa kuwa alikua bado anamatamanio ya kuwa padre akajiunga na shirika moja la mapadre ambako aliweza endelea na masomo mpaka kafikia adhma yake. Alivyokuwa padre hakukaa sana nchini, akaenda Italia ambako alijiendeleza kimasomo na akapanda vyeo mpaka akawa mkuu wa lile shirika duniani. Yule padre aliyemtimua siku moja alienda Italy kuomba misaada ya ujenzi wa kanisa analolijenga parokiani kwake. Si akaelekezwa kwa mkuu wa shirika. Kufika alipomuona tu, akaanza kujutia na kuomba msamaha, yule mkuu wa shirika wala hakumuonea huruma, akamwambia tu “baba padre, jiwe walilolikataa waashi limekua jiwe kuu la pembeni".
Story ilinipa nguvu ya kuendelea na masomo ya upadre. Nilivyomwambia vile askofu, akafurahi mno, akaniunganisha na moja ya shule za jimbo lake zisizo za seminari nikamaliza f4 pale. Na ukawa mwanzo wa financial support kutoka kwa mhasham.
Baada ya f4 nikajiunga na seminary nyingine kwa masomo ya advanced. Maisha ya pale hayakua na matukio sana, ilikua ni mimi, ganja na kitabu. Baada ya high school ndo kujiunga na kitivo sasa. Kipindi chote hicho nawasiliana na baba askofu. Alikua ananisapoti sana financially, ndo maana life la chuo sikuwahi pata shida. Hata Nshomile ambaye ndo mshkaji aliyewapa kidogo habari zangu nimemsaidia sana sio tu kuishi na masomo, ila hadi gharama za kimasomo.
Shida ilkuja kama mwaka baada ya kumaliza chuo. Maana ilibidi nimwambie askofu kwamba mimi wito wa kuwa padre sina tena, basi akanitakia heri na kukata msaada. Hakuna rangi nliacha ona. Hadi dem nliyekua nae akanikimbia. Geto nlipokua nimepanga ikabidi niuze kila kitu na kumuomba nshomile nijiweke kwake kwa muda. Kazi nlikua nimepata mahala flani ila baada ya muda wakanistopisha maana kwanza walihitaji advocate, na mm sikuwa na mpango wa kusoma law school.
Nikiwa bado nasikilizia kazi maeneo kadhaa, nikawa niponipo tu, my hobbie ikawa kuandika story za watoto. Mpaka siku nlipokutana na Zoya kule beach house.
That night sikutegemea kumega tunda halafu tunda classic namna ile. Nilijisikia vibaya of course baada ya tendo, maana nlikua kama nimetake advantage ya masononeko yake. Ndiyo, nilijua bwana ake alikua katoka kuanzisha varangati, na kwa kuwa nilikuepo nikiri kuwa yule dogo kweli alishika tako la binti. Ila ndo ivo, Zoya kaingilia kumrescure baby wake.nnilijua pia kuwa anavyojionesha usoni sivyo anavyofeel ndani. Na nilihisi sio mara moja amemfanyia visa. So I knew yuko emotionally unstable bt nlishindwa zuia hisia zangu. Nlitenda kinyume kabisa na itikadi zangu. Itikadi za ki Ras.
Cha muhimu ni kuwa Zoya akawa mshkaji. Ingawa nlikua natamani tupige mechi rasmi hasa baada ya kuonekana hayupo tena kimahusiano na yule dogo ila nliogopa kurudia kosa .
Zoya alijua struggles zangu, na alitamani kweli anisaidie. Mawazo yake mara ya kwanza ilikua niende law school, nikampa facts pale mpaka akatulia. Siku moja alivyoona story books nnazoandika ndo akagundua nakipaji. Ndo kukaa chini kuanza kunambia we have to develop this talent ila lazma ujue mnyororo mzima wa hii tasnia, nikamwambia hayo ndo maneno.
Kuna siku tuko wote mitaa ya karibu na kwao Upanga, tukakutana na jamaa flani tulikua nae kitivo, bas jamaa kanichangamkia pale. Then kaanza maswali yale ya kujua niko wapi nafanya nini. Mi namwambia sina kazi now nipo tu. Jamaa alinicheka live, alafu bila hiana eti anamuomba namba Zoya mbele yangu, ingawa to be fair aliniuliza kama ni shemeji yake nikakana. Sasa ile kitu ikaniweka offmood kabisa. Na zoya alivo eti kamtajia kweli dah.
Wakati ananisindikiza kupanda gari akawa ananisemesha hata sijibu, nikapanda daladala nikamuacha ananipungia, nikakausha. Nimefika geto (of course kipindi hiki nlishajitegemea tena kwa msaada wa Zoya) nakuta msgs na missed calls kibao from her, ooh mbona umechange ghafla, nmekukosea nn, hata sikujibu nikaoga nikalala. Nakuja kustuliwa na hodi mlangoni. Kufungua Zoya. Usiku saa mbili hivi.
Nikamkaribisha ndani. Alikuja na takeaway ya msosi akanipa nikala yy akawa anajidai anaangalia movie kwenye laptop. Mi nakula kimya kimya na yy anacheki muvi kimya. Hakuna anayeongea. Muda ukawa unazidi kusonga. Baadae akaniomba akaoge, nikamwambia rukhsa, bt kabla hajaenda akaenda mahali anajua hua natunza msuba akanitolea akanikabidhi. Akaniacha navuta ye kaenda kuoga.
Karudi na kitaulo tu kifuani. Ananiangalia kwa aibu. Mi wakati huo nshashiba nimejilaza kwa bed. Macho yetu yakakutana, ila bado hakuna aliyesema lolote. Nlijua wazi anachotaka, bt nlitamani aniambie, na nlikua nasubiri nisikie lugha atayotumia. Je, ataweza sema Ras njoo unitie? Au atatumie tafsida mfano Ras nmekumis?. Bahati mbaya hakusema kitu. She just stood there. Ofcourse she was a very beautiful sight. Na stim zangu kwa kichwa nikaona nimsogelee. Wala hakunipisha, ndo kwanza naona tabasam, nkamuuliza, “unatabasam nn?”, akanijibu huku ananihug kwa nguvu “what took you so long?", I was waiting for the right time nikamjibu huku nikifungua pindo la taulo alilovaa. Nikamuacha kama alivyozaliwa.
Sikutaka papara. Nikajichomoa mikononi mwake, ili nimuangalie vizuri. Zoya hakujua nataka nifanye nn, kabaki ananishangaa tu. Nikawa namkodolea macho kuanzia kifuani nikashuka mpaka kiunoni. Walahi dem yuko vizuri. Akiwa badk kasimama palepale umbali ka mita moja kutoka nilipo, nikaanza kumtizama huku nazunguka nyuma yake. Uzuri wala hakuzunguka pia. Ni kama alijua nataka nione neema za Muumba. Just the way I like them. Najua wanaume wengi wanapenda misambwanda, ila kama alivyowahi kusema Izzo Biznes, “sana inaboa, hasa kwa sisi waungwana……”,
Tako la Zoya ni yale tunayaita ‘balanced to perfection’ yaani yamefinyangwa vizuri yakawekwa chini ya kiuno chembamba. (I think mliona pichani), na makusudikale eti akaanza kunesanesa ili ayatingishe, aisee,. nikaona kula kwa macho kwa kazi gani akati mtoto kanipa rukhsa nimfanye nnavyotaka. Nikavua pia nguo zote. Nikiwa bado nyuma yake mikono ikatangulia, nikambinya kwanza matako yake. Nikaona anaegemea kwa nyuma, nikampokea kifuani. Mikono nikaihamishia kwa mbele, nikayakamata matiti yake yenye chuchu kali kama miiba. Huku chini mashine ishasimama, na kwakuwa alikua mbele yangu, ikawq inamgusa matakoni. Akageuza shingo kuniletea lips. Nikamkiss lips zake laini. Very slowly. Nikaona anapenyeza ulimi wake. Nikaupokea na ndimi zetu zikaanza mieleka.
Mkono wake wa kulia ulikua tayari ushashuka kuikamata mashine, huku mkono wake mwingine unanipapasa shingoni. Nlijua alichokua anapenda kwangu, mashine, maana sina sura wala mwili wa kusema namvutia. Akaishika ikiwa full mlingoti, mm nacheza na kifua. Sikujali miguno anayotoa, nlitandaza mikono kama namfanyia massage kuanzia kufuani nikifikia kiunoni naizungusha kwa nyuma napapasa takoz, oooh it was nice. Baada ya muda akanigeukia. Tulivogusana kwa mbele nikasikia kaanza kutoa miguno zaidi ya mahaba. Nikawa namsogeza kitandani huku namkiss. Tulivyokifikia kitanda akaniachia then mwenyewe akajilaza bed, sikufanya ajizi, nikaamua nimpe burudani kwanza, nikawa nimeweka kituo katikati ya mapaja yake kwenye kitumbua. Mikono inaminya nyama za pembeni ya tako, pale kati nikawa sometimes napakiss, sometimes napanyonya, sometimes napalamba, sometimes napasugua na ulimi. Zoya hoi. Akawa anajinyonganyonga tu. Mara awe kama ananinyanyulia kiuno, mara akishushe aanze kukizungusha, mikono yake yote miwili imenishika kichwa, mara anisukumie ndani zaidi mara awe kama ananipush niache yaani ni full burdani. Nikaona ni wakati mwafaka mechi ichezwe.
Nikamfata hadi vichwa vyetu vikawa usawa mmoja. Sikujua kama ataweza nikiss baada ya uzamaji wangu wa mudamrefu chimboni kwake, ila wala hakusita. Nikawa nimeitegesha mashine mlangoni kwa malango yake. Then bila kuishika nikawa naimuvuzisha inamgongagonga mashavu ya nanlii yake. Nikaona mwenyewe kaishika kailengesha. Ila kabla sijananlii aliomba niende slow, nlijua anahofia ukubwa wa mtarimbo, ila sikua tayari kuelekezwa, yani ile naweka tu nikaweka yoote, alibaki macho kayatoa na mdomo kaachama kama kabanwa mlango, akatoa ka sauti flani kama mtoto anafundishwa kutamka sirabi ya kwanza. nlikua nimeamua leo tu namfumua haswaaaa. Nikajua atakimbia, ila walaa, baada ya muda mfupi tu nikaona kanizungusia mikono yake anapapasa mgongo, miguu kazidi kuipanua na kiuno anakizungusha……….
Baada ya mechi ya kwanza tukawa tumelala, mimi chali, yeye kajilaza kifuani kwangu. Ndo tukawa tunapiga story pale. Akauliza nlichokasirika, nikamjibu utagawaje namba mbele yangu, si dharau zile. Akacheka.then kwa adabu akanambie, “najua nlikuudhi, na sio vizuri. So please nisamehe mpenzi wangu". Nikatabasam. Ndo nshapata mpenzi hivyo ndugu Watanzania. Akanambia na jamaa ashaanza kumsumbua kwenye simu. Nikachukua simu yake nikapitia msgs kweli full kuomba date. Nlichofurahi kidogo ni namna alivyomsave. Eti Bazazi.
Baadae kidogo ndo ananiambia ameongea na mzee wake kasema nifikirie nataka nifanye nn na hivi vitabu, he will introduce me to the right people. Alivyoona sijibu akajiinua kidogo kinitazama usoni, mbona usemi kitu? Nikamjibu nafikiria namna nzuri ya kukushukuru wewe na baba yako. Akatabasam, ehee, umewaza zawadi gani? Nikamjibu kwa vitendo, this time sikutaka papara. Tulichezeana tena . Sikujali ninetoka kumtia, nilinyonya kile kiharage hadi kidogo apass out kwa utam. Bt nlifurahi pia alivokama tia microphone. Alinikumbusha kidem changu cha chuo, bt Zoya was something else. Sijui ni hii sura yake au ni ulaini wa mwili wake, bt making love to her made me feel sooo gud aisee. This time mwenyewe alijitenga mbuzi kagoma, then kailengesha halaf kaanza kunizungushia kiuno, banabana, ule utam usipime. Yeye ndo kabisa kuna mda alisahau anatakiwa amove, nikaamua kutake kontrol, wakati anacontrol yeye alikua anaiweka nusu mlingoti, mi nikaamua niongeze kidogo hadi robo tatu, alipiga kelele ndugu msomaji, ila sikumpumzisha nliendelea kupump kwa speed isiyo ya kasi sana wala slow sana,.
Katikati ya utam si sim yake ikaita, kucheki ni yule bazazi. Nikamwambia pokea, babe no, akawa anagoma, nikamwambia tena pokea, akapokea, kaweka loud speaker, huku anajitahidi kuongea, mi nikaongeza speed huku nyuma yake, kwani aliweza kuongea sana, uzalendo umemshinda kujibana sauti kashindwa akaitoa zaidi ya ilivokua mwanzo, eti bazazi anauliza kwenye loudspeaker, “uko sawa Zoya, whats wrong", nlipoona maswali yake yanazidi nikaamua kuzamisha mashine yote sssa, Zoya alipagawa, kelele kama zote, yule fala bado yuko tu hewani eti “unafanya nini?”, ikabidi nichukue sim nimjibu, “ Zoya yuko bize anato**wa, kata simu we fala” eti ndo likakata.
So that’s how tulianzisha mahusiano na Zoya, ndo maana nasemaga wakati mwingine wanaume tunajikutaga tu kwenye mahusiano. Maana tofauti na Marga dem wangu wa chuo, Zoya sikuanza kufall kwake, nlimchukulia kama mwanamke anayenipenda kwa dhati so nlimlipa kwa kumheshim na kumrudishia upendo japo kidogo hasa pale mwanzoni.
Zoya changed my life. Zile attempts zake za kuninunulia sijui nguo ingawa hakujaribu tena ila zilinipa picha anapenda niweje. So nikajisajili gym, kadri nlivofanya mazoezi ndivyo quantity ya msosi nnaokula ikawa inaogezeka, taratibu nikaanza kujengeka. Kuhusu issue yangu ya vitabu, nikaandika bonge moja la proposal, sio kwa ajili ya kupublish kitabu hapana, nlipropose kuanzisha shirika linalohamasisha usomaji wa vitabu hasa kwa watoto. The Don alivyoiona mwenyewe alikubali, akaifoward ubalozi flani, baada ya miezi mitatu nikaitwa ubalozini. Hapo ilibidi nikubaliane tu na Zoya aninunulie suti hahaha. Then tukaenda saluni moja pale mwenge nikafanyiwa makorokocho yote unayoyajua, kichwani nikawaambia wazisokote ili niwe Ras rasmi hahaha. Mwanzo Zoya alitaka kupinga bt anajua nikishaamua kitu sipangui. kujiangalia kwenye kioo nikagundua kumbe mi nae handsome, Zoya mwenyewe kasifia dread zilivyonikaa.
Kimsingi nilipewa sapoti kubwa kusimamia miradi nliyopropose kwenye shirika. Baada ya mwezi nikasajili kila kitu then nikaanza media tours kupromote events kadhaa. Kuna shindano la uandishi wa hadithi fupi kutoka kwa watoto wa shule za msingi na sekondari ambalo lilipata attention karibu kila kona ya nchi. Pesa nikawa nayo mimi sasa. Nikatakata.
Mafanikio yangu yalikuja kipindi ambacho the Don anapata misukosuko. Ilianza kama utani ila ghafla tukasikia kakamatwa yuko segerea. Mali zake zote zikawa confiscated. Yaani within few months wakawa masikini. Nilimhurumia sana Zoya, na nilijitahidi kuhakikisha hapungukiwi. I looked after her na nlijua what I give her kinahudumia mama yake pia.
Changamoto nyingine ni Marga. Yea yule manzi wangu wa chuo. Alivoanza kuniona kwa TV akanitafuta. Nikiri wazi, nlimpendaga sana Marga. She was everything that I thought I wanted. I took care of her tukiwa chuoni na kiufupi nlifall nae mbaya. Sema mara zote alinilalamikia kuhusu bangi. Nakumbuka siku ya kwanza anaikuta geto alidhani sigara ya kawaida, nlivyomwambia alitoka kwa hasira na sikumuona wiki. Nlivombembeleza akarudi kwa sharti nichague kati yake na bangi. Mi nikachagua vyote ila sikumuweka wazi. Mbona issue ndogo tu, kama polisi wenyewe hawajui kama navuta itakua Marga?
Mtu wa kwanza kuniambia kuwa Marga hajatulia ni Nshomile. Akanambia temana na huyu dem hakufai. Mi wala sikusikia chochote, nakumbuka kuna siku akanichukua mpaka sehem ili tu anioneshe live dem wangu yuko na jamaa mwingine bar. Nlivofika kweli nikawakuta na pozi zao za mitegomitego. Nikamface Marga, kilichoniuma badala amkane mshkaji eti ananiambia mbona tunafuatiliana sana, then akasepa. Nikabaki namuangalia tu anavyoondoka. Nshomile ndo akanirudisha geto.
Bt kama kawa, nliendelea na Marga. Sjui alinipa nini hata. So kipindi nimepigika sina hela ndo Marga akanitema. Sikutarajia kabisa aniache ktk kipindi kigumu, maana yeye tayari alikua na kazi so nlitegemea angekua ananiboost kiaina, ila ndo akanichana live, amepata mtu mwingine.
This time nlipokua na pesa tena ndo kaanza tena kuchati na mm. Na mm nae badala nimzuie nikawa namuendekeza tu. Najua kabisa simtaki, ila ujasiri wa kumwambia asinitafute sikua nao kabisa. sema alikua akiomba tuonane namdanganya niko bize nikawa namuahidi nitamtafuta. Sikua tayari kumcheat Zoya. Mwanamke pekee aliyeniona nikiwa sionekani, akanijenga kimwili na ki wadhfa, leo sio kimbaumbau ni mkaka tall nliyejengeka kimazoezi,. No way, ntamtia yeye tu.
Wasalaam,
Kiga.
Sent using
Jamii Forums mobile app