Recent content by Kandukamo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Shule za kata janga la kitaifa.Aaaaagh......Wabongo bwana.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    Waberoya, Mahakama haijamkomoa Lema na CDM,lakini imeikomoa serikali ili iandae uchaguzi mdogo,ambapo hadi mie nimekomolewa kwani na mimi pia ni kati ya serikali kwa mujibu wa Abraham Lincoln. Said Mecky Sadick(Dar RC),wakati wa kampeni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Kapewa Uenyekiti wa kudumu ktk KAMATI ya MATUSI na Bi.Kiroboto,thus why kashinda arumeru ktk kinyang'anyiro cha watu ambao midomo yao haina staha.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Totozi za mwenge.....aiseee

    Time hzo hata wapite ISHI CAMPAIGN huwezi kuwazingatia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

    Daaaah....AKSANTE kwa UKWELI HUU!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mbunge wangu MH. HAWA GHASIA kutoka kwa mwanachi wa Mtwara Vijijini

    Wamakonde tatzo lenu mnaongea sana na hamfanyi mambo kwa vitendo.Frankly speaking nachelea kusema mmechelewa sana kukombolewa KIFIKRA.Wahimize nduguzo wasome kwani siku hizi Mtwara kuna influx kubwa ya wasomi Mtwara ya sasa tofauti na zamani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkapa hafai kushtakiwa mahakama ya uhalifu?

    Mshaanza upuuzi wenu asubuhi asubuhi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

    Vyama vingi vya kisiasa barani Afrika vina-practice DEMO-CRAZY badala ya DEMOCRACY,ndio maana vimejaa viongozi wenye maamuzi ya KIIMLA yanayopelekea UBAKWAJI wa DEMOKRASIA.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sisi ni ndugu, tunaishi katika jamii moja. CHOKOCHOKO ZA UDINI ZA KAZI GANI?

    Iko wapi haki yetu sisi Watanganyika tusioamini katika imani hizi za kimapokeo? Katu maishani mwangu sitokuja sahau nilivyonyimwa kupanga chumba kisa imani yangu ni tofauti na Mama mwenye nyumba. Kwa tendo hilo ndipo nilikuja tambua imani yangu ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Muslim university of morogoro na scandle ya uongozi

    Ama kweli great thinkers wamevamiwa!Mungu okoa kizazi hiki na elimu wanayopewa!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid ana vipimo vyote vya unafik hivi sasa dalili ziko wazi

    Honestly,namkubali sana HR,kwani anaonekana mtu makini sana pindi azungumzapo,ingawa sishabihiani na wanasiasa,lakn MADAI yake katu si ya kupuuzwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Wakati mwingine nimekua nikitofautiana na Lema kimtazamo,hadi sasa nimeamua kubaki neutral politically as nawaona politician kama MASHETANI wasiowezi kuupinga USHETANI wao kwa kujiangamiza wenyewe.Tujaribu kupima UKWELI pasipo kujari nani kazungumza.UKWELI NI UKWELI,HATA UNGALIZUNGUMZWA NA...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

    Ndaga gwisile Malafyale,Kyala akusaje.
  14. K

    JamiiForums Tanzania JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Wewe ndie unaempinga peke yko,lakn sidhan kama waliokuzaa wanampinga,udini umegeuka kichaka cha kuwakosoa viongoz hasa wanapoonekana wako tofauti kiimani na nyinyi.Kukosea ni human endeavour ambayo mwanbdamu kaumbiwa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Sioni haja ya kupinga wazo lako,kwani haki uliyonayo kikatiba ktk maoni inanifunga as hata wavivu wa kufikiri kama ww mmetambuliwa,Nyerere was and is still the BEST President.Ni matusi kumlinganisha na mkwezi n ni KOSA la jinai.
Back
Top Bottom