Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

Its mean kwamba LULU ana Muder case n No Dhamana? N kuna tetesi its mom ni Muhaya so hawezi potezea hiyo kesi.???

Hivi ni kwanini usingeandika kwa lugha ya taifa tu jamani kha!!!
 
Correction-it means not its mean....Murder not muder
His\her mom not its....may be when ur talking about a dog and even a dog we normally use SHE not it

Simple....tumia kiswahili

Lol......asante sana mdau.
 
Its mean kwamba LULU ana Muder case n No Dhamana? N kuna tetesi its mom ni Muhaya so hawezi potezea hiyo kesi.???

Mkuu hapo umemaniisha nini hivi??sijakuelewa vizuri bora kiswahili kama lugha ya wenzetu ni ngumu
 
Acha hizo.. unataka kumtetea bure? Kuna waanawake wangapi mitaani wanahitaji msaada wa kisheria mnawakimbia? au ndio zile za " nitoke vipi" unajua kesi yake itagonga vichwa ... nenda kawatete wawake vijijini ambako hawatakiwi kumili ardhi
 
Prodo umeelew vizuri sana ndio maana umejua wapi nimekose so shut up! Soma comment thn sepa.

Daaaa nimecheka sana sasa mkuu unarekebishwa alafu hutaki na umerudia mara nzima alafu unaanza kuongea vibaya??
 
nashukuru wote mlio nitumia private message, kimsingi zimenipa direction wapi pa kuanzia! pia hata nyie mnaocomment, ninataka kuwasiliana na familia ya LULU, kama itaniruhusu niko tayari kuwasaidia, hii kesi ni ndogo sana kwangu!

hivi ni kweli kanumba kazaliwa 1984?nilifikiri ni mzee mwenzangu'anyway mkuu nakushauri achana na hilo swala'kuna mtu hapo juu kasema huyo mtoto ni msumbufu na amesumbuwa sana wazazi wake'mwache akapate akili mbele ya safari kwa kuwa wazazi wake walimshindwa'kama unataka kusaidia nipm nikupe mambo kibao ya kusaidia achana na changudoa'kuna dhahabu kilo 500 zinatoroshwa kila mwezi kama vipi njoo tuangalie jinsi ya kufanya
 
ukisha mtoa then what? Labda umpeleke huko south la sivyo akiibuka kitaa nnae! Siwezi kubali dogo kantoa chozi mtu mzima... Muache huko huko, thats what she deserve currently na akitoka kanyookaaa
 
Huyo mtoto ni innocent unless prove otherwise, walianza kumtumia akiwa under 18 very unfortunetly ni jamaa waliopewa dhamana ya kumlea ndio walianza kutafuna. Wasanii ni makauzu zaidi ya dagaa kila kinachopita wao lazima waonje kwanza, R.I.P kanumba ila huyo mtoto mwacheni atoke manake huko pia maafande hawatamwacha na ndio atapinda zaidi ya hapo
 
Ripoti ya awali, Lulu anasema marehemu alianguka mwenyewe, na ni kutokana na kunywa sana pombe kali
 
Correction-it means not its mean....Murder not muder
His\her mom not its....may be when ur talking about a dog and even a dog we normally use SHE not it

Simple....tumia kiswahili

Usiogope lugha za watu, kukosea ndiyo kujifunza, mzungu akibofoa kiswahili inaonekana poa lakini mswahili akibofoa kizungu inakuwa issue, huoni kuwa umemsahihisha na kajifunza kitu kutoka kwako? Asingeandika angejifunza wapi? Usimkatishe tamaa.
 
kilichotokea ni kitu cha kawaida ambacho kinaweza kumtokea mtu yeyote....! ila nadhan hii itakuwa fundisho kwa wale mabinti na watoto wa kiume wanaokimbilia mambo ambayo yamewazid umri! niliwahi kumuona mara kwa mara katika vipind vya tv, sio siri alikuwa anaonekana hajitambui kabisa! nadhan wazazi wake wanatakiwa kujilaum kwa kukwepa majukumu yao katika malezi ya mtoto wao! walikubali kumuachia mapema ajiendeshee maisha yake wakati hajakuwa na uwezo huo! shame on you wazzi wa lulu!
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Huna lolote na wala hauko SA bali ni tamaa ya ngono na Lulu ndiyo inakufanya uandike hivyo
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Yaani kweli nimeamini kuna watu hupenda kubeba misalaba isiyowahusu! kisa tu ni Lulu na unajua ni Kinda! nakushauri endelea na shughuli zako tu maana huna nia yeyote nzuri ya kuwasaidia watu wanaoonewa, umekosa watu waliosingiziwa kesi, akina babu Seya, na watu wanaoonewa na Serikali kwa maeneo yao kuchukuliwa kwa nguvu na wawekezaji, na baadaye kuwaharibu na kemikali za sumu wazawa, wewe mwanasheria maarufu umekaa tu kimya! Unafikiri akina Tundu Lissu hawajasikia maana yeye ndiye mfano wa kutetea wanyonge? wewe una jambo lako la siri kati yako na Lulu! ila tahadhari Lulu siyo kigoli kanma unavyofikiri! wameshamchosha siku nyingi na utakuja kujutia uamuzi wako mkuu.
Waafrika utawajua tu!
 
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi. Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba alipiga kichwa chini jambo lililopelekea Kanumba Kupoteza Maisha. Now if proved that LuLu caused the death in relation to above story,what does the Law provide?

Kama Kanumba alikuwa amelewa kilevi kikali cha Jack Daniels, basi sitoshangaa kwa nini ilikuwa rahisi kwake kusukumwa na kupoteza balance hadi kuangukia kisogo, na hatimaye umauti kumfika. Kwa kweli hii kesi itategemea ni kiasi gani Kanumba alikuwa amelewa. Ulevi wa Kanumba utakuwa ni mitigating factor kwenye mazingira ya kifo chake kwa manufaa ya mtuhumiwa.
 
hivi ni kweli kanumba kazaliwa 1984?nilifikiri ni mzee mwenzangu'anyway mkuu nakushauri achana na hilo swala'kuna mtu hapo juu kasema huyo mtoto ni msumbufu na amesumbuwa sana wazazi wake'mwache akapate akili mbele ya safari kwa kuwa wazazi wake walimshindwa'kama unataka kusaidia nipm nikupe mambo kibao ya kusaidia achana na changudoa'kuna dhahabu kilo 500 zinatoroshwa kila mwezi kama vipi njoo tuangalie jinsi ya kufanya

Wasanii huwa wanapunguza umri ili waonekane bado wadogo, ili tuseme wamepata mafanikio mapema, mimi Kanumba ninamfahamu toka akiimba kwaya, alikuwa kaka yangu sana kwa mbaali! ila leo nina miaka 32 nashangaa yeye hadi leo hajafikisha 28? Ndo yale ya akina Johari wanasema bado wako chini ya 28 lakini mwanamke mwenye mtoto wa form one hajachoka kama yeye Johari! sasa jiulize na jibu utalipata tu.
 
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi. Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba alipiga kichwa chini jambo lililopelekea Kanumba Kupoteza Maisha. Now if proved that LuLu caused the death in relation to above story,what does the Law provide?
Hio inaitwa man slaughter, kuuwa bila kukusudia.
 
Back
Top Bottom