FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Wapi aliteleza kidogo?
Kuna kuteleza hapo?
Wapi aliteleza kidogo?
Kuna kuteleza hapo?
Ahadi hewa! Yaani baba mzima na watoto pia wajukuu anazunguka nchi nzima kuwadanganya wananchi halafu mnamwita Rais bora? Ama kweli mmekosa cha kufanya!
Jibu swali: mgao wa umeme umekwisha? Leo ni Novemba 26 tunaelekea Desemba. Mwaka mzima Tanzagiza inarindima unaniambia ameongeza mitambo. Tanzagiza ya Kikwete hiyo.Rais pekee aliyekwisha ongeza mitambo ya umeme amma iko tayari nchini amma iko kwenye mchakato wa kuundwa, kurasimiwa amma kufungwa kuliko mwingine yoyote wa kabla yake.
Tatizo lako ulitaka kikao cha CC pamoja na NEC kiwafukuze wanachama ambao wewe ulitaka waondoke kwa matakwa yenu sasa unapoona hakuna ulichokitegemea unaanza kulalamika.Nadhani anapima upepo baada ya CC, NEC and the rest kushindwa kufanya maamuzi ya maana Dodoma. Week nzima wamekaa hawa wakubwa wanatoka na kauli za kuisifia serikali kuruhusu wakulima kuuza mahindi nje!
ni rais aliyepitia misukosuko mingi
ni rais alikumbana na upinzani mkali
ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
ni rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
ni rais anayepambana na ufisadi mf richmond,epa,nk
ni rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
ni rais msikivu na mpokea maoni ya wapinzani
namtakia kila la heri na kazi yake
Jibu swali: mgao wa umeme umekwisha? Leo ni Novemba 26 tunaelekea Desemba. Mwaka mzima Tanzagiza inarindima unaniambia
ameongeza mitambo. Tanzagiza ya Kikwete hiyo. Na shilingi inazidi kuporomoka. Hapo hujaweka inflation ambayo inakimbilia 20% wakati anachukua nchi Mkapa alikuwa ameishusha hadi 6%. Tanzania ya Kikwete hawachekani na Zimbabwe ya Mugabe, lakini kama mavuvuleza wa Patriotic Front wanavyoendelea kumsifia kizee ndivyo hivyo hivyo mavuvuzela ya Bongo yanaendelea kumsifia kilaza.
Kwishney nyie hakuna hoja mkipewa mafanikio mnabaki kutukana slaa @ work
Maendeleo tuliyoyapata kipindi cha JK nina wasiwasi yataharibiwa na atakayefuata..
Huo ndio wasiwasi wangu tu..
Mwisho wa maji ni matope, pelekeni matope yenu huko.
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.
Hayati Mwalimu Nyerere alipong'atuka alituachia megawatt 500 plus za umeme. Marais wote waliofuata baada yake wameongeza megawatt 300 tu. Fanya utafiti kabla ya kuandika.Rais pekee aliyekwisha ongeza mitambo ya umeme amma iko tayari nchini amma iko kwenye mchakato wa kuundwa, kurasimiwa amma kufungwa kuliko mwingine yoyote wa kabla yake.
Hata kama tuna njaa lakini hiajafikia ya kuuza nchi kwa suti!!!!!!Watu kama nyie huwa mnatamaa sana na madaraka na hiyo inatokana na huenda mna njaa kali sana,sasa mkipewa nchi ndiyo itakuwa balaa zaid
Namshukuru sana JK kwa kuimarisha usalama kila sehemu ili kutulinda wengine ambao hatuna mawazo mgando kama yenu.
Mimi namkubali JK kwa mengi sana aliyoyafanya, namnukuu Mwl Nyerere kwa maneno yake kuwa Tatizo lenu mnaacha mema mnachukua ya kijinga
Kikweteeeeeeeeee oyeeeeeeeeeeeee!!!
Kidumu chama cha mapinduzi
500MG za uhakika, lakini waliofuata hasa huyu wa amau ya tatu na nne ameongeza ufisadi katika sekta hiyo unaotaka kumgharimu madaraka!Hayati Mwalimu Nyerere alipong'atuka alituachia megawatt 500 plus za umeme. Marais wote waliofuata baada yake wameongeza megawatt 300 tu. Fanya utafiti kabla ya kuandika.
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani
Namtakia kila la heri na kazi yake
Mkuu, una undugu na Malaria Sugu a.k.a MS ? Nauliza tu.