Recent content by Kampemba

  1. K

    Vigogo Uhamiaji wana utajiri wa kutisha

    Hivi huyo Kamishna wao anavyo sema ameunda tume na wapewe nafasi mibinafsi haiingii akilini sababu kama nitume ilisha toa majibu ya yote waliyo yaona pale KIA-Kilimanjaro, Pamoja na hao wote wanao watuhumu kukutwa na huo Utajiri wengi wao ni watoto wao na walio karibu nao Hivyo wakaona bora...
  2. K

    Idara ya uhamiaji na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    Juliani : utakuwa ni mmoja wa vigogo wa Uhamiaji wanao chunguzwa. Maana wote wenye matatizo kwenye hiyo Kampuni ndio wana walalamikia hao unao watuhumu na kwanini iwe kwa wa Makao Makuu na isiwe huku Singida, Kwa Upande wa Chuo pale Moshi ndio Kishakufa kimekuwa sehemu ya kukodisha sasa hakina...
  3. K

    "Nafasi za uhamiaji"

    Tembeleo ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu na ulipo, mwisho wa kutuma maombi ni 06/05/2012;Kama huna wakukushika mkono sahau :
  4. K

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Nahiki kingeleza cha Jaji hata sipati kitu hapa aaah!ila kwa mwelekeo huu Aesh anaendelea kuwa Mbunge wetu jameni
  5. K

    Kamrani ni nani? kutoka bungeni.

    Sihatari kiivyo niwakawaida nimuhongaji mzuri sana kwa watumishi wa Umma hasa Uhamiaji Arusha na baadhi ya maafisa Uhamiaji Makao Makuu Dsm, Hajawawi kupata kibali halali cha kuishi na kufanya shughulizake hizo za kusafirisha Ndege na Wanyama walio hai, Pia anabiashara ya kuuza magari karibu na...
  6. K

    Vigogo wa Uhamiaji Wapanguliwa

    Kapigwa changa Mpemba nivisasi tu wengi walio hamishwa ni kwa husda tu si kwa tija kama anavyo tarajia:Mfereji vuta subira nadhani utakuwa Mtwara wewe Rukwa tayari
  7. K

    King'amuzi cha zuku

    Ni kwa Tz nzima au Dar tu maana wengine tuko Kapumpuli
  8. K

    Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

    ccp ndio kichaka na alitoka hapo kwenda Morogoro na kabla kapiga sana ishu za mererani, sasa ana rudi nyumbani kusubiri kazi nyingie n
  9. K

    Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

    source:Habari Leo
  10. K

    Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni?

    Vuai aliwapa siku za kujirekebisha kwani bado?
  11. K

    Migogoro yawagawa wabunge Arusha

    Huyu Chatanda si Mbunge wa mkoa wa Tanga!ama
  12. K

    Ajali kimara Korogwe

    Ee Mungu wawote jaalia maana wengine hatujafika ndio kwanza tumekwama hapa Chalinze baada ya kusota Kitonga;Poleni sana majeruhi
  13. K

    Kova anaficha wapi uso baada ya Muro kuachiwa

    Mopalmo:Kova si msomi domo lake ndio limemfikisha hapo
  14. K

    Mchina ampiga Ofisa Uhamiaji, kazimia

    Hiyo kawaida mbona na ilishatokea mchina kutoa kichapo katika ofisi ya uhamiaji hapa Mbeya.
  15. K

    Uhamiaji YAZINDUKA: Jandu Singh na wenzake 18 kupanda kizimbani!

    Kwa upande mwingine tofauti na matatizo yaliyopo ndani ya Idara hii ya Uhamiaji hasa kwa maafisa wao na utendaji wao,Napenda kutoa pongezi kwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa Dar(RIO) simfahamu kwa jina ila alitokea Mkoa wa Kilimanjaro huyu jamaa yuko makini na kazi yake na tangu amefika mabadiriko...
Back
Top Bottom