Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Jan 4, 2012.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakati bado akiwa amekaa kimya dhidi ya ushaidi aliopelekewa na mwakyembe wa kuwataja watu walioshiriki katika tukio la kutaka kumwangamiza mwakyembe said mwema ameanza kuwaamisha watuhumiwa kutoka katika vituo vyao vya kati mmoja wa watuhumiwa wakuu wa sakata hili ni askari polisi mashuhuri wa morogoro anayejulikana kwa jina mashuhuri la Sabasita kampeleka kwenda kuwa mkufunzi CCP moshi.

  Said mwema nini kinaendelea?
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tuletee habari kamili na credible source yake sio kulalamika tu!
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  fuatilia vyombo vya habari sidhani kama hujui sakata la kurasa sita la mwakyembe kutaka kuuliwa....sasa sio kila habari itakuwa inaanza mwanzo
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280

  Achana nae asikuumize kichwa hao ni miongoni mwa walewale mafisadi
   
 5. K

  Kampemba Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccp ndio kichaka na alitoka hapo kwenda Morogoro na kabla kapiga sana ishu za mererani, sasa ana rudi nyumbani kusubiri kazi nyingie n
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo Sabasita ndiye yule aliyekuwa Arusha miaka ya nyuma? Kama ndiye, then no doubt kuhusika kwenye issue ya Mwakyembe. Alikuwa anapenda sifa za kijinga na alipenda kuhusika kwenye matukio ya kutisha, vurugu, na unique. Alikuwa maarufu sana Arusha akahamishiwa Moshi.
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  mwakyembe is one of them so i don't sympathize with him
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba amemuhamisha amempa full Ulinzi hapo CCP
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  napita tu wakuu wangu
   
 10. araway

  araway JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  nimesikia sabasita kapangua uamisho nasasa anaenda rorya. Hizi bado hazijawa habari rasmi so usiniulize nimesikia wapi.
   
 11. N

  Njingo Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo76 ninani?Alafu kama kuna ukweli juu ya jambo hili bac kazi kwelikweli.
   
 12. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii hamisha hamisha ya wahalifu kutoka sehemu 1 hadi nyingine haisaid. Bora ampeleke exile tena kwa siri, kama hiyo ni ngumu amhamishie kusimu. Huko ambapo watu wakienda hawarudi wala kuonekana tena. Go to hell Mwema and your friend 76.
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nchi hii sio siri, ukiyafatilia mengi kama si yatakupa kichefuchefu utatapika kabisa.
   
 14. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Polisi m1 hivi... huwa anavalia suruali kifuani karibu na makwapa!
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kuna askari aliconfess kwamba akina sabasita wanashiriki uhalifu na kubambikia raia kesi matokeo yake RPC akamweka mahabusu then wakampeleka MIREMBE kuwa ana matatizo ya akili,kulmd daktari akakataa kumpokea baada ya kumemamine na kuona hana kichaa..hatimae wakamfukuza kazi lakini sasa mbona wote waliotajwa ndo wanahamishwa?
   
 16. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,654
  Likes Received: 3,301
  Trophy Points: 280
  Somebody Kimaro hiyo 76 ilikuwa namba yake ya kazi
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kimaro aka 76 - he is a serial killer - na mkuu wa Police anafahamu hivyo - Tatizo kubwa ni kuwa anayo nguvu kubwa ndani ya "kikundi maalum cha jeshi la police" ...
   
 18. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280

  Kazi ipo. Isije ikawa ndo yale makundi ya mheshimiwa ngunguri
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Huyu Kimaro a.k.a 7,6 hiyo jina aliipatia hapa A town,enzi yake miaka ya 1987 hadi 2001 hv na ana misifa haswa na yuko njema kiafya kweli kweli na hata kikosi yake yote karibia wamekuwa mang'aa na hata wengine wameshatangulia mbele ya haki kwa mfano Msomali,huyu alimkamata mama mmoja aliyekuwa anauza pombe aina ya gongo na ndipo yule mama akamwomba sana amwachie na katukatu akakataa kbs kumsamehe yule mama akamkamlia na maziwa akiwa na maana chochote anachofanya ni kwa ajili ya watoto lakini msomali akakataaa na ndipo msomali akabeba ile gongo,Hakika nawaambia yule askari baada ya kuondoka tu akakanyagwa na catapiler lile la kutengeneza barabara na ndio ikawa mwisho wa uhai wa huyu rafiki yake 7,6! Mtaona nasema uwongo lakini ukweli ndio huo!
   
 20. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Naomba mwenye Profile ya huyo kimaro AKA 76 pamoja na Cv yake amwege huku jamvini tumjue vizuri,kama kaletwa huku Moshi tumjue na tujue jinsi ya kupishana nae njiani Tafadhali.
   
Loading...