Mchina ampiga Ofisa Uhamiaji, kazimia

Mchina ampiga Ofisa Uhamiaji, kazimia

Hao maafisa uhamiaji wanapoteza muda miezi 9 kule kiwira kumbe mafunzo wanayaacha kule kule wanapigika kizembe hivyo??sidhani kama kwa umri wake angekuwa police angepigika kizembe hivyo yale mazoezi yao yanatosha kujilinda usipigwe
 
kuna sababu mpaka mgeni kumchalaza mwenyeji,lakini hawa wanaojiita mabos mara nyingi huwa wanajiona,wenye viburi,majibu ya mkato,wala rushwa,hupenda sana ngono hasa kwa akina dada yawezekana hayo mambo ndiyo yamesababisha boss akachezea kichapo.
 
kuna sababu mpaka mgeni kumchalaza mwenyeji,lakini hawa wanaojiita mabos mara nyingi huwa wanajiona,wenye viburi,majibu ya mkato,wala rushwa,hupenda sana ngono hasa kwa akina dada yawezekana hayo mambo ndiyo yamesababisha boss akachezea kichapo.
Umeongezea Jambo moja .... la muhimu hapo!!!
 
ngoja wapigwe-maana huku mtaani wanatuonea sisi weusi-ngoja wachina wanaokumbatiwa na sirikali wawapige
 
Mchina safi sana kwa kumchapa huyo hatorudia tena kuomba rushwa ovyo ovyo,jamaa wanauzi sana hawa wa uhamiaji wanavyoomba rushwa utazani wewe hela unachuma kwenye mti
 



wabongo wanadhana kwamba kila mchina anacheza kong fu! .. kumbe wala sio kweli.. hata mimi jamaa namuona mpuuzi apigwe hadi apoteze fahamu!

mwanaume unapigana ukizidiwa unakimbia ...



jamani huyo jamaa inamaana hata mbio zilimshinda kweli?(mbio zako zitakuokoa)
 
angepigana tu hata kwa kupimga masingi mchina angeona aibu na kumuacha!wachina wana aibu sana
 
Sawa kabisa kapata mkong'oto. Wamezoea hawa mapolisi wa ccm kupiga wananchi mabomu na risasi hai.
 
So ingekua poa kama ungetujuza chanzo cha ugomvi na mchina yupo wap kwa sasa.Ila kiukwel hawez kuleta dharau ndan ya nch yetu,jamaa hakua na hata jiwe?

Nadhan ofisa ni mtu wa visiwan mpenda chai ya karafuu,yaheeeeeee!
 
Mi ni mwanamke lakini kamwe nisingekubali heri nipigwe na mtz mwenzangu,lakini kamwe mzungu au foreigner hawezi jaribu katika ardhi yangu,kha inatosha haya manyanyaso hivi si wafukuzwe tu hawa?jamani sipendi dharau,
 
Na bado. Ipo siku aidha waziri au mkuu wa nchi atazabwa vibao na muwekezaji mpaka azirahi. Hiyo siku inakuja!
 
So ingekua poa kama ungetujuza chanzo cha ugomvi na mchina yupo wap kwa sasa.Ila kiukwel hawez kuleta dharau ndan ya nch yetu,jamaa hakua na hata jiwe?

Nadhan ofisa ni mtu wa visiwan mpenda chai ya karafuu,yaheeeeeee!

Mkuu hivi wewe ukiwekewa chai ya karafuu na mrenda unachagua nini? Maanake mimi nimesikia moja kati ya sababu ya iliyomfanya David Cameroon alete hule mpango wake wa 'Kikameroon' Tanzania ni kwamba alisikia watu wa huku wanapenda sana kula Mrenda!
 
huyo mchina vipi? Kakamatwa?

wataua soo$
coz chanzo cha
kuchezea nakoz
ni cha aibu lol.
Labda wamvizie
huyo mchina
kwenye kibanda
chake cha icecream
kk.safi wacha
apate kipondo.
Wamezidi.unakuta
hawa wageni hawana
hata sifa za uhamiaji
lakini wapo huku
uswaz wanazalishana
na wazaramo tuuuu
 
Mchina mmoja YUXIAN WENG hati ya ukazi RPA O31266 ISSUED DSM 28.7.2O1O amempiga afisa Uhamiaji cpl Mussa Mkubwa Abdallah wa Ilala hadi umepoteza fahamu hadi sasa. Amepelekwa Muhimbili Hospital na hajapata fahamu. Taarifa zinasema POLISI mmoja amekua akiwalinda Wachina hao anaitwa W.KABEMBERA ASST. INSP.

Jinsi wabongo mnavyowaabudu hao wachina, na mnavyowafagilia na kuwababaikia wamebaki kuwavua nguo tu sasa.
 
Ngumi moja tu kwenye temple a.k.a the button, inatosha kumpa mtu usingizi.
Ngumi ni timing tu, siyo ubavu.
 
Hiyo kawaida mbona na ilishatokea mchina kutoa kichapo katika ofisi ya uhamiaji hapa Mbeya.
 
wachina wako kimikakati kila idara. Jamaa alipewa yang kibadach yan shodan kataa. Alipojifanya ngunguri akapewa kushmat kisha mchina akamalizia na shizalok.
 
Back
Top Bottom