Recent content by Kaka Yao

  1. Kaka Yao

    Mistubishi canter tan 3 (tipa) inahitajika haraka sana

    Ni PM,au weka namba,ninayo sijaitumia utaipenda
  2. Kaka Yao

    TANZANIA: tujiandae sasa majirani zetu waanza kututenga

    Tanzania ileile MIMBA yake ya Tanganyika na Z'bar,inakaribia kutoka, Leo hii mnataka kutunga mimba na JIRANI? Tupilia mbali,blah blah tu, EAC, itaiendesha TZ,jinsi wanavyotaka regardless uwepo wa TZ,ktk community, Kwani TZ, NI NCHI ya wajinga, DRIVEN by WAHUNI wachache. Pora...
  3. Kaka Yao

    Natafuta Boyfriend seriously

    Mshahara pls
  4. Kaka Yao

    Makaa ya mawe

    Ni PM,nayahitaji
  5. Kaka Yao

    Muamar Gaddafi alipenda kuvuta, coceine, whisky au pombe kali, na wake na watoto wa marais wenzake.

    Na akamlipia ada ya kusomea urubani wa ndege mwanae mmoja.:heh:
  6. Kaka Yao

    Nyinyi vizee ambavyo mnajifanya amjazeeka maaini

    Mliwadhulumu mafao yao ya EAST AFRICA, Leo tena mwataka kuwadhulumu, MATAMANIO yao ya kimwili na kiroho, Acheni kuwasimanga vijana wa jana,, Kumbukeni HATA BABU nae ALIKUA bebi. Na siku hizi UZEE mwisho CHALINZE,huku mjini sote sisi ni ma BEBI.
  7. Kaka Yao

    Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

    Kweli nyani halioni KUNDULE, Kagame mnamlazimisha apatane na WAPINZANI, Nyie kwenu MTWARA,mnapeleka JESHI hilohilo kuua RAIA wasiokua hata na MANATI, Mbona nyie hamjakaa chini na kuzungumza na wana mtwara? SHAME ON YOU, F..CKING YOU ALL,
  8. Kaka Yao

    wadau interview za ticts zimekaaje?nimeitwa.nipeni hints!

    Mtafute bwana mmoja yuko huko anaitwa Shaidi,huyo ukimpatia 1m,kazi unapata bila hata ya kufanya interview,wala kukaguliwa vyeti.
  9. Kaka Yao

    Taarifa ya serikali bungeni kuhusu vurugu za Mtwara

    Nafikiri hawa wananchi wangeshirikishwa katika MUSTAKABALA wa kuvuna rasilimali na kuchangia fursa, HAYO YOTE YASINGALITOKEA,ubabe ndio chanzo cha kuvunjika AMANI, Washirikisheni muone hoja zao kama ni za msingi au la, Maamuzi ya maendeleo ya Mtwara hayawezi kufanyika Bagamoyo,Ruvuma au Katavi.
  10. Kaka Yao

    Uongozi hospitali ya Butimba {Nyamagana} fuatilieni hili swala...!!!!

    Inaandikwa nurse na sio necy au nessy kama jinsi ulivyoandika.
  11. Kaka Yao

    Makinda: Weee sugu!!! Tusianze kutafutana!

    M As ma visionary insight, She is VIRGIN,
  12. Kaka Yao

    Asanteni watanzania, tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa umakini zaidi!

    Big up buddies MO & MO,till THINGS happen
  13. Kaka Yao

    Ushauri wa kina unaitajika

    Piga chini
  14. Kaka Yao

    Mch msigwa unamtafutia nini kinana kabla ya kuomba radhi au mahakamani?

    I think she was among ur fckng mate :loco::rant::bange::bange::A S 103::mimba:
Back
Top Bottom