Nyinyi vizee ambavyo mnajifanya amjazeeka maaini

Nyinyi vizee ambavyo mnajifanya amjazeeka maaini

hahaha babu kifuani mwa mjukuu! kweli mwisho wa busara za wazee ndio huu
 
Tubabu ni tufisadi vjana hawana mpunga unadhan c anaona bora achukue mpunga kwanza we hata ukimgegeta unampa bku2
 
hiyo ni kawaida hata kwa mcheza mpira ni kawaida kupata msuli.

mwache mzee ale maini.!!
 
Ha ha ha! Bahati yake.
Hapo goli lingekuwa jirani. Angejamb.j.
 
Mliwadhulumu mafao yao ya EAST AFRICA,
Leo tena mwataka kuwadhulumu, MATAMANIO yao ya kimwili na kiroho,
Acheni kuwasimanga vijana wa jana,,
Kumbukeni HATA BABU nae ALIKUA bebi.
Na siku hizi UZEE mwisho CHALINZE,huku mjini sote sisi ni ma BEBI.
 
Mwacheni babu ajifaidie hiyo ikuwa bahati mbaya tu, toka lini gari bovu likavutwa na gari bovu, gari bovu huvutwa na gari zima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom