Kweli sikio la kufa la CCM haliskii dawa,
Lakini safari hii litaskia tuh litake lisitake,
Nchimbi katika hiyo hotuba yake anajaribu kuongopa na kusema watu wamevunja ofc kadhaa na kuiba??muda huo wa kuiba huku wanapigwa mabomu na polisi waupate wapi??
Anajaribu kutaka kuuaminisha umma wa watanzania ya kwamba wanaoyafnya hayo ni wahuni wahuni flan hivi kitu ambcho si kweli na wao wenyewe wanafaham,
Wanafaham fika madai ya wanakusini,hakuna anaesema kuwa gesi hii si ya watanzania wote.,
Msimamo wa wana kusini si kuikumbatia hii gesi kwa uchoyo,au kuhoji mambo ya kipuuz nchimbi,
Aje atoe majibu ya maswali ya msingi na si kuwasukumia wapinzani kuwa wako nyuma ya wana mtwara,
Nchimbi ajibu haya,
1.mikataba ya hiyo gesi kwanin imekuwa siri hata kwa bunge letu la jamhuri ya muungano ambalo ndio chombo chetu cha kuisimamia na kuishauri serikali??kuna nini??
2.sheria ya gesi hakuna,hadi sasa kuna rasimi ya sera ya gesi tuh,wataanza vipi kutaka kuvuna gesi na kujenga bomba bila kwanza kuwa na sheria za kuwaguide katika mikataba na usimamiz?wanaharakia nin??10percent au??
3.wananchi kwanin wasije kuongea nao??kuwapa elimu wao wenywe??kwanin wasubiri hadi mambo yanakuwa magumu ndio waanze kuact??
4.CCM inadeploy jeshi kuja kupambana na wananchi,eti poliCCM wamezidiwa,nan kawaambia kuna mapambano?na mungu kawaonesha CCM kwa hatua yao hiyo,kwani jeshi hilo maskin safari yao imeishia huko huko NACHINGWEA...
Hakuna yyte alie nyuma ya wana mtwara zaid ya wana mtwra wenyewe,CCM msitafute mchawi,mchawi ni nyinyi wenyewe..,.