Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,075
That is very true!!Tatizo la shangazi yangu, badala ya kuwa na wabunge anakuwa na serikali.
That is very true!!Tatizo la shangazi yangu, badala ya kuwa na wabunge anakuwa na serikali.
Baada ya mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kumuambia waziri wa habari utamaduni na michezo kuwa ataondoa shilingi kama hatajibu kwa kina ni kwa nini kitabu cha waziri wa habari utamaduni na michezo hakija ongelea chochote kuhusiana na kutekwa, kuong'olewa kucha na macho kwa wandishi wa habari.
Spika akamuambia "Wee sugu, mheshimiwa Mbilinyi, tusianze kutafutana,.. Hatuna muda wa kupoteza hapa". Tuendeleee.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
mama kwa mkwara, sasa watafutane wapi yeye na sugu.!!
Hahahaha!!Sometimes huwa namuoneaga huruma kama binadamuYani utafikiri mwalimu wa chekechea akicheza na watoto kwenye mabembea.
Ni maneno ya powerless woman
Haya ndio maisha bora kwa Maccm
View attachment 94652
Yani utafikiri mwalimu wa chekechea akicheza na watoto kwenye mabembea.
As ma visionary insight,Baada ya mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kumuambia waziri wa habari utamaduni na michezo kuwa ataondoa shilingi kama hatajibu kwa kina ni kwa nini kitabu cha waziri wa habari utamaduni na michezo hakija ongelea chochote kuhusiana na kutekwa, kuong'olewa kucha na macho kwa wandishi wa habari.
Spika akamuambia "Wee sugu, mheshimiwa Mbilinyi, tusianze kutafutana,.. Hatuna muda wa kupoteza hapa". Tuendeleee.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
bi kiroboto haingii bungeni bila kula viroba.
mmmh wasije wakaanza kuwang'oa kucha wabunge wa upinzani!